KHADIJA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        ::KHADIJA NUSURA
EVENT                       ::KITCHEN PARTY
VENUE                       ::MAKUMBUSHO YA TAIFA HALL
COLOR                      ::RED,ORANGE & BOND BLUE
BRIDAL MAKEUP     ::GLAMBOX
DESIGNER                ::EVE COLLECTION
CAKE                          ::OCCASIONAL PLANNING
DECOR                      ::ODETHA
STILL PICTURE       ::HAMIS's PHOTO
MC                             :: MISHY BOMBA
BI ARUSI MZURI, NGUO YAKE IMEDESIGNIWA NA EVE COLLECTION, KWA HAKIKA NGUO IMEMKAA SAWASAWA, EVE SHIKAMOO!! MAKE-UP IMETULIA, NIMEPENDA HAIRSTYLE IMEENDANA NA USO WAKE, UKIJA KWENYE ZAWADI ZAKE ZA UKWEE'EE HIVI INAKUWAJE KILA KITU PERFECT!!!! MDAU ZAMA NDANI UMUONE KHADIJA NUSURA ALIVYOPENDEZA.....!!!! FOLLOW ME INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG

 YOU LOOK HOOOOOT!!!!
 HAPANA CHEZEYA MBURUZO WA EVE-COLLECTION UNAMWAGIKA KAMA INAVYOTAKIWA...!!!!
INTRO....!!!
 KHADIJA ALIANZA KUMTAMBULISHA MAMA YAKE. BLANDINA MATAGI
KAHDIJA AKIINGIA UKUMBINI...!!!
 KHADIJA AKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAKE AKISINDIKIZWA NA MAMA PEMBENI...!!!
KAMATI
HII NDIO KAMATI ILIYOTAYARISHA MAMBO MAZURI
DECOR...!!!
 ZAWADEE
 
WAZAZI WAKIONGEA NA BLANDINA
 MAMA BLANDINA NA JULIANA WAKIONGEA NA BINTI YAO!!!
CAKE
 KEKI MFANO WA CHUNGU, NENDA KAPIE HASWA 
 NIMEPENDAJE ALIVYOSHIKA UMMA NA KISU!!!
MC-MISHY AKIPATA KEKI
 CHAMPAGNE
BURUDANI
 
ZAWADEEE KWA BLANDINA
ALIANZA MAMA KUMPA ZAWADI BINTI YAKE
 MAMA AKIMVISHA KHADIJA SAA YA UKWEE'E
KHADIJA DEKA WEWE KWA MAMA, MTOTO KWA MAMA HAKUI
GETRUDE AKIMKOSHA DADA YAKE KWA MAHELA!!!
 WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA KHADIJA
NDANI TAYARI UMEWEKEWA MASHUKA, KHANGA VYA KUANZIA
 KAPU LA MAMA HILOOOO!!!!
 JULIANA AKITUNZWA
 MAMA AKITUNZWA....!!!
 KHADIJA AKITOA ZAWADI KWA MAMA
 KHADIJA AKIMPA ZAWADI MAMA YAKE MADINI...!!! HAPANA CHEZEYA HESHIMA KWA MAMA...!!!
 NATURAL LOVE FROM MAMA TO DAUGHTER!!! 
BLANDINA NA JULIANA WAKIENDA MKABIDHI KHADIJA VYOMBO VYA JIKONI
CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA BLANDINA MATAGI
RED CARPET
JOB GETRUDE SIMPLE BUR CLASSIC!!!
JOB GETRUDE & FRIEND

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. Habari,
  Hongera kwa picha nzuri, mara kadhaa naona unaweka picha bila caption hivyo wakati mwingine nashindwa ku identify kundi lililopigwa picha. Hapa umeweka picha nakutana na caption ya Mbunge Zainab ni wa Bunge gani, Jimbo gani na chama gani maana sijawahi msikia.

  ReplyDelete
 2. sweat and lovely function
  by Neema Matagi a.k.a Neyrich

  ReplyDelete
  Replies
  1. mmetisha kina Mnaye,Mrs Mvumo uko juu,harusi yangu itabidi nikualike uje inmwagie wekundu wa msimbazi!!!

   Delete
 3. harusi imependeza make up ya biharusi nimeipenda imetulia hadi vazi lake pia zuri

  ReplyDelete
 4. mmependeza na mambo yote mmeyapanga vizuri hongera

  ReplyDelete
 5. Hongera mmependeza sana jamani huyo ni Dada Juliana Yasoda sio Mbunge, please rekebisha

  ReplyDelete
 6. umetendeza aunt wa jigga
  ReplyDelete
 7. imependeza xana jaman

  ReplyDelete
  Replies
  1. ukweli ilipendeza sana jamani,me tricyjones

   Delete
  2. ukweli ilipendeza sana jamani,me tricyjones

   Delete