JENNIFER's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                     ::JENNIFER KAKOLAKI
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::PALM TREE HOTEL
COLOR                   ::ORANGE, BLUE, GREEN & CREAM
MC                           ::Mc Tupilike Kalukwa ( Mc Tenende)
HAYA HAYA WADAU WEEK HII TUNAANZA NA KITCHEN PARTY YA BINTI MWENYE CONFIDENCE, ANAWEZA KUSIMAMA  MBELE YA WATU BILA KUTETEREKA, ILE GROUP YA AGENT W BANDARI WENYE KUCHANGAMSHA SHUGHULI WAMO NDANI.....

JENIFFER NA MPAMBE WAKE WAKIINGIA UKUMBINI
MC
MC-TUPILIKE MAMA WA ATN TELEVISION

INTRO....!!!
JENIFFER BINTI MWENYE KUJIAMINI AKITOA INTRODUCTION
DECOR....!!!
INIVITATION CARD YENYE NAKSHI ZA SARE YAKO INATENGENEZWA NA SILMAL INVESTMENT MAWASILIANO +255 
 CAKE
MAMA AKIPOKEA CAKE YAKE
MTOTO HESHIMA TELE GOTI MPAKA CHINI
WIFIS WAKIPOKEA CAKE YA KAKA
JENIFFER AKIFUNGUA CHAMPAGNE KWA KUJIAMINI
BURUDANI
WANA CHEZA MWANZO MWISHO
ZAWADEE
ALIANZA MAMA MZAZI KPELEKA SANDUKU NA KAMPANI YAKE
BIBI AKIMTUNZA MJUKUU WAKE KIPENZI
JULIE AKIMTUNZA MAMA YAKE MZAZI
MAJIRANI WA TAGETA WAKIKABIDHI JIKO
MAMA MZAZI WA JENIFFER AKIFTWA JASHO NA MAAGENT WA BANDARI HAPANA CHEZEYA HAWA WANA PESA KUSHINDA WENYE BANDARI, UMOJA WAO UNAFANINSHWA NA NYENYELE
JOYCE AKIMFUTA JASHO KWA POUND
MASHOSTITO WAKIMPONGEZA SHOSTI WAO
WANAKAMATI SHANGWE KWA KUKAMILISHA SHUGHULI
JENNIFER AKIKABIDHIWA DINNING TABLE NA WANAKAMATI
AKAKABIDHIWA VYOMBO VYA JIKONI
JENIFFER  AKIWAPA ZAWADI MAMA, BIBI & SHANGAZI
JENIFEER AKIGAWA GIVE AWAY KWA WAALIKWA
CHAKULA
NYUSO
MASHA & FRIEND, FROM SILMAL INVITATION CARD ZA UKWEE
PENDEZA SANA HAPANA CHEZEYA
LILIAN, JOYCE & FRIEND-MAAGENT WA BANDARI HAPANA CHEZEYA
MAMA NA MWANA
MAMA MZAA CHEMA
MWENYEKITI WA KAMATI
JOYCE
OLIVER & FRIEND
RED CARPET
LILIAN

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. Hapana chezeya agent wa bandari, wawaacheeee miaka 1000000

  ReplyDelete
 2. HONGERENI SANA MMEPENDEZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 3. Bi harusi ni mzuri sana mashaaAllah. Mungu akujaalie ndoa yenye kheri na watoto wema aamyn.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alishiriki umiss miaka ya nyuma nahisi.

   Delete
 4. jamani motto kama mnyaruanda ! Mzuri huyo! hongera mama umezaa mwanamke mwenzetu.

  ReplyDelete
 5. Jamani motto wa kike kaumbika huyu!

  ReplyDelete
 6. Shughuli imependeza sana,bi harusi kapendeza,nguo yake nzuri,watu wote wamependeza na wamechangamka,Hongera Juli

  ReplyDelete
 7. Da Hellen confirm jina la bi harusi hapo juu. Bi harusi mzuri mashallah lkn nguo kifuani haikumtendea haki jamani, naona part kubwa ya kifua ilikua wazi sana na ikamsababisha kama awe na pozi la kuihandle!! ni mtizamo wangu tu jamani.

  ReplyDelete
 8. Mmetisheer, da Maria omega pale kati wapi da Joy! bi harusi umependeza.

  ReplyDelete
 9. bi harusi we mzuri sana mungu ailinde ndoa yako,na umependeza sana ila tu hapo kifuani nguo kidogo ...........

  ReplyDelete