HARIETH's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        ::HARIETH KASHANGAKI

EVENT                       ::KITCHEN PARTY

VENUE                       ::CASSA HALL MIKOCHENI

COLOR                       ::BABY YELLOW,MINT GREEN & LIGHT PINK  

MC                               ::COLUMBA - +255 715 394 885

MAKEUP                    ::IRENE SALOON

CAKE                          ::MONICA MAKUNDI

DECOR                       ::DSM OCCASIONS

 HAYA HAYA WADAU KAMA NILIVYOSEMA MAMBO YA WEEK HII NI BOMBA...!!! NI KITCHEN PARTY YA HARIETH HAPO CASSA MIKOCHENI MAMBO YANATISHA...!!! HAPANA CHEZEYA WANAKAMATI WATOTO WA MUJINI...!!! ZILE SWAGA ZA BELLANAIJA LEO LIVE BONGO..!!! WENYE MAHERA YAO...!!! INGIA UJIONEE ZAWADI ZA MREMBO NO PLASTIC!!!!!

 SWAGGA ZA HARIETH
HARIETH AKIINGIA UKUMBINI
 FULL CONFIDENCE HAPANA CHEZEYA KUPENDEZA UNARINGAJE!!!
MBURUZO MUHIMU SIKU YAKO...!!!
WANAKAMATI WAKIINGIA
WANAKAMATI WAKIINGIA WAKIONGOZWA NA MDADA WA UKWEE'E BOSSLADY LILIAN KARAMUNA
CHAIRPERSON LILIAN KARAMUNA "BOSSLADY"
WANAKAMATI
MC
MC TWILUMBA WA UKWEEE WAKUACHE MIAKA 100
 INTRO....!!!
HARIETH AKITUPA INTRO...!!!
DECOR....!!!
ZAWADEEE
HAPA KWENYE VYOMBO VYA JIKONI MIE NIMEGUSWA SANA...!!! UNIQUE AND CLASSIC UNAJUA KUNA VYOMBO FULANI TUMEZOEA KUVIONA HAPA NOOO!!! LILIAN "BOSSLADY"  LAZIMA NIKUONE!!!
CAKE
HARIETH AKIKATA KEKI
 LILIAN KARAMUNA "BOSSLADY" M-KITI WA KAMATI AKIPOKEA KEKI KWA NIABA YA WANAKAMATI
CHAMPAGNE
WAJANJA WA MUJINI HAO...!!!
BURUDANI
HARIETH AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE
ALIANZA MAMA MZAZI KUKABIDHI ZAWADI ZAKE
KINA DADA WAKIPELEKA ZAWADI YAO!!!
UNIQUE & CLASSIC
WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI
 MAMA AKITUNZWA...!!!
CHAKULA
 
NYUSO
 
PENDEZA EEH!! , REMINA YOUR SO SWEET!!!
 
FAMILIA YA BOSSLADY!!! PAMBE EEEH!!! WOTE VISHUNAA MASHALLAH!!! NA BAZEE STYLE ZAO MMEWAPIKU BELLANIAJA!!! AMINIA WATOTO WA MUJINI HAKUNA KUREMBA!!! KINZURI CHAJIUZA!!!
MAMA MZAZI WA HARIETH
HAPANA CHEZEYA WENYE MAJINA YAO, BANA SHUGHULI IMEKWENDA SHULE, 
 NGOZI LAINIIII WASAFIIIII!!!
MAMA NA MWANA
BOSSLADY MMEGAA ILE MBAYA & LA FAMILIA....!!!
MAMA MZAA CHEMA 
KIM KARDASHIAN TISHAAAA!!!
RED CARPET
SWAGGA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. ee shughuli imeenda shule, mie zawadi tu ndo nikoje hoi acha kabisa

  ReplyDelete
 2. Kamati pendeza sana bella naija design. Niambie jamani hiyo saloon iko wapi bi harusi kapambwa vizuri sana nipe namba mashughuli

  ReplyDelete
  Replies
  1. Saloon iko hongera bar, inatazamana na fence ya chuo cha ustawi wa jamii. Nambs ya mwenye saloon/mpambaji ni 0718 776 771

   Delete
 3. Beautiful bi harusi, shule imekaa hapo, kazi nzuri, kila kitu on point. Mungu ashukuriwe ndoa yako iwe ya heri na baraka

  ReplyDelete
 4. Kwanza kwa mtazamo tu yaelekea wanakamati walijipanga na shughuli waliisimamia vizuri.
  Pili watu walipendeza wakiongozwa na kamati.
  Tatu huyo mwenyekiti namzimia. Akisimamia jambo lako lazima likae vizuri maana anajitoa kwa hali na mali! Kajaaliwa uzuri wa sura, umbo na roho!! Mungu kakupendelea!!!!

  ReplyDelete
 5. mi hawa wadada wa kwenye kamati nawapendaje sasa, wa mjini lakini wastaarabu halafu wazuuuri balaa, hasa huyo mwenye nyele nyeusi na amevaa bazee ndefu kama ya Remina penda huyu dada hasa.

  ReplyDelete
 6. kitchen party inaonekana ilipendeza ila nimenote kitu kimoja, kparty ikikosa sare kama kitenge hivi haipendezi,yaani hapa inaoneka kama vile kamati walijipendelea wenyewe, wageni wanaonekana tofauti tofautiiiiii saaana, yani kama vile ni sherehe mbili tofauti. i think kiparty zinapendeza sana watu wakivaa sare hii imeonekana kuna utofauti mkubwa sana. just my thoughts though.

  ReplyDelete
 7. Hongereni sana wanakamati. Hongera bi harusi mtarajiwa mungu akufungulia milango ya kheri na amani kwenye ndoa yako. Nimependa sare ya wanakamati inapatikana wapi. Tafadhani auntie Hellen nijuze

  ReplyDelete