HAJAT JOHA SIMBA!!!

 MASHUGHULIBLOG INAPENDA KUMPA HONGERA MBUNIFU WA MAVAZI JOHA SIMBA KWA KWENDA HIJA NA KURUDI SALAMA!!!  UNGANA NAMI KUMPA HONGERA JOHA KWA KUTUMA COMMENT


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. mashallah mama Simba...Allah aikubali hijja yako na atusamehe sote kwa dhambi zilizopita na zijazo.. Ameen

  ReplyDelete
 2. hongera dadake Fatma Simba na kati ya NMB;sasa ni mwendo wa kujifunika kichwa tu

  ReplyDelete
 3. ishallah ALLAH akujaalie na akuzidishie iman ktk kutekeleza mamrisho ya yake na pia kama hivyo ulivyo ubakie hivyo na mavazi yako ishalla na sie ALLAH atujalie tufike

  ReplyDelete
 4. Maashalah mtoto wa dada, Inshaalah hija yako yako iwe MAQBUL wa Dhamban MAGHFUR, Duaa zako hajat usinisahau maji ya zamzam niko safarini Inshaalah nikijaaliwa nitakua DAR soon. Lve MaMdogo Hajat Bi Rahma

  ReplyDelete
 5. Assalam aleykum ukht Joha,hongera sana Allah aaatakabar ibada yako,tuna tatizo kubwa sana la mavazi katika uislam,nakuomba ulifanyie kazi eneo hilo la ubunifu wako kwa kubuni mavazi ya kisasa ambayo yanakubalika kwenye dini yetu,hasa watoto wetu wa kike wasivutike na mavazi yenye ubatili ndani yake.Nakuombea kheri uifanye kazi hiyo amina.

  ReplyDelete
 6. MASHA A ALLAH... Mola aikubali Hija yako na hongera sana.Ombi langu sasa ni kuzingatia mavazi ya heshma na maadili ya dini. Naomba hili ulifanyie kazi kwenye ubunifu wako pia

  ReplyDelete
 7. HONGERA SANA WAJINA KWA KUFIKIA IBADA HIYO, MUNGU AKUWEZESHE UKAE MBALI NA DHAMBI YA AINA YYT KUANZIA SS IN SHA ALLAH

  ReplyDelete
 8. Hongera sana dada mungu aikubalie hijjah yako na wengine waliokwenda,na dua mlizoomba zikubaliwe.

  ReplyDelete
 9. Masha a allah, mweyezi mungu aikubali Hijja yako, na utoombee wanawake wenzio wote wakiislam Allah atujaalie kuitimiza nguzo hiyo kwani dua ya hajjat ni muhimu. pia uwashauri waliokaribu nawe marafiki, ndugu, jamaa na wateja zako ktk mienendo ya kiislam. Pia jaribu kubuni mavazi mbalimbali ya kiislam yakazini,ya nyumbani na ktk dhifa mbalimbali. Inshaalah

  ReplyDelete
 10. MSHAALLA!!!!!!!!! Mwenyezi mungu aijaalie hija yako iwe yenye mafanikio makubwa naomba ubunifu wako asilimia kubwa uelekezee kwenye mavazi yetu yakiisilam ili tuweze kujisitiri

  ReplyDelete
 11. hongera sana da joha mwenyezi mungu akujalie kila la kheri ktk hija yako

  ReplyDelete
 12. MashaAllah da Joha hongera kwa kwenda hijja m/mungu akutangulie kwa kila lenye kheir.. mwanafunzi wako wa kushona Zuhura binti Lekuzi

  ReplyDelete
 13. MashaAllah Da Joha hongera sana kwa kuhijji mwenyeezi mungu akutangulie wenye kila la kheir.. ameen, mwanafunzi wako Zuhura binti Lekuzi

  ReplyDelete