ANDREW & HYASINTA RECEPTION WEDDING!!!

BRIDE                         ::HYASINTA

GROOM                      ::ANDREW

EVENT                        ::WEDDING RECEPTION

VENUE                       ::BUDGET HOTEL

COLOR                       ::RED, BLUE,  & BLACK

BRIDAL MAKEUP    ::

CAKE                          ::OCCASIONAL PLANNING

DECOR                       ::CATHERINE SHIRIMA

STILL PICTURE           ::FREDDY +255 716 713 891

ILIKUWA NI HARUSI YA NGUVU, MAARUSI WAKIWA NA FURAHA TELE, MAMBO YOTE HAYA YALIFANYIKA BUDGET HOTEL, UKUMBI UKIWA UMEPENDEZA SANA...!!! UKIJA KWENYE VINYWAJI SI UNAJUA WANGONI KATA MTI PANDA MTI..!!!

MAIDS
 MAARUSI WAKIINGIA
 WAPAMBE WAKIINGIA UKUMBINI
 MATRONE & PATRONE WAKIINGIA UKUMBINI
 MAIDS BAADA YA KUINGIA UKUMBINI
INTRO....
MAARUSI WAKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA
DECOR
 TABLE SETTING
CAKE
PRINCE AKILISHWA KEKI
 ANDREW ALIMLISHA MKE WAKE KWA STYLE HII
 WAZAZI WA ANDREW WAKIPOKEA KEKI
 WAZAZI WA BI ARUSI WAKIPOKEA KEKI
 SHEMEJI YAKE ANDREW, MR. MATIKU AKIPOKEA KEKI YAKE NA MKEWE
 DADA FLORA NA MUME WAKE WAKIPOKEA KEKI 
 MATRONE & PATRONE WAKIPOKEA KEKI YAO
 MAIDS PIA WALIPATA KEKI YAO
KEKI YA KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI WANAKAMATI CASH 1.5M
 CHAMPAGNE
WANAKAMATI WOTE WALIFUNGUA CHAMPAGNE
I LUV THIS PICTURE, PICHA KAMA HIZI MPIGIE FREDDY +255 716 713 891
 ANDREW NA DADA ZAKE, MWENYEWE ALIWAITA MADADA WA UKWEE'E
FLORA AKIGONGA NA WIFI YAKE
 BAADA YA KUGONGA GLASS NA WAALIKWA WAKANYWESHANA CHAMPAGNE
BURUDANI
 ANDREW & HYASINTA WAKIFUNGUA MZIKI
 MAMBO YA KITAMBAA CHEUPE
 NGOMA YA ASILI YA WANGONI WALIGALAGALAJE CHINI
HAPANA CHEZEA ANDREW NI HAPPIEST GROOM
ZAWADI NA MKONO WA PONGEZI
 FAMILIA YA ANDREW WAKIWAPONGEZA MAARUSI
  WAZAZI FAMILIA YA HYASINTA WAKIWAPONGEZA MAARUSI
  BWANA ARUSI ANDREW AKIANGALIA SAA, ANAKWENDA NA TIME
 
 WANAKWAYA WENZAKE ANDREW WAKIMPA ZAWADI
 WAKATUPIGIA CHORUS MOJA...!!!
 MR & MRS MATIKU WAKITUNZWA
 MARAFIKI WA MR & MRS MATIKU WAKIWAPA ZAWADI
 HAPANA CHEZEA WENYE PESA MR & MRS MATIKU WAKIKOSHWA
 FLORA AKIFUTWA JASHO NA ANDREW & HYASINTA
 FLORA AKIFUTWA JASHO NA MAARUSI, FURAHA CHOZI HILOOO!!!
WADADA WAKIPELEKA ZAWADI
 HII NDIO ZAWADI, PICHA YAO SIKU YA BAG PARTY YA ANDREW
 MADADA WAKICHEZA KWA FURAHA...!!!
CHAKULA
NYUSO
MADADA WA UKWEEE'EE
PENDEZA EEH!!!
 
MAMA PAMOJA NA MAARUSI
FREDDY RAFIKI WA MAARUSI
WATU NA KAMPANI ZAO
MRS. MATIKU DADA MKUBWA WA ANDREW
RED CARPET
HYASINTA & MAMA MZAZI
SWAGGA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment