ANDREW's BAG PARTY!!!

GROOM                 ::ANDREW ATHANAS GOLIAMA
EVENT                    ::BAG PARTY
VENUE                    ::STALLION GARDEN KAWE
COLOR                   ::BABY YELLOW AND ROYAL BLUE
MC                           ::MARIDADI MUSHI
CATERER               ::MIJOPE CATERING
BAG PARTY YA ANDREW, ILAFANAJE HAPO STALLION GARDEN, ASKWAMBIE MTU MSHUGHULIBLOG NIMEKULETEA PICHA ZOTE, HIZO ZAWADE USISEME HAPANA CHEZEYA ZA UKWEE'E, MAMBO HAYA YALIANZA SAA SITA MCHANA ILIKUWA NI LUNCH NILIPENDAJE WANAOKWENDA NA MUDA...!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 ANDREW AKIINGIZWA UKUMBINI
MAMA MLEZI NA DADA YAKE ANDREW ROSE NDIO WALIMUINGIZA KIJANA WAO!!
HUKU AKISINDIKIZWA NA VIJANA WATANASHATI
MC
ANDREW AKIITAMBULISHA FAMILIA
DECOR...
 ZAWADEE
CAKE
 CHAMPAGNE
ANDREW AKIMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE
HII BAG PARTY ILIKUWA TOFAUTI ANDREW ALIMKARIBISHA MCHUMBA WAKE ASINTA CHAKULA CHA MCHANA KATIKA BAG PARTY YAKE IKABIDI ATUTAMBULISHE, EEH ANDREW HUYU NI MKE MWEMA UTOKA KWA MUNGU!!!
ASINTA AKAMSUPRISE ANDREW KWA KUMVISHA SAA
ANDREW NA MCHUMBA WAKE WAKIPATA NENO LA NASAHA
HAPA LAZIMA SOMO LAZIMA LIELEWEKE
 BURUDANI

ANDREW AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE ZA UKWEE'E
WANAKAMATI NDIO WALIANZA KUMKABIDHI ANDREW SITTING ROOM ILIYOKAMILIKA
WAKITAMBA SI UNAJUA ZAWADI IKIWA NZURI MNAJISHAUAJE
CHEZEYA KAMATI YA UKWEEE'E
ROSE AKIMKABIDHI MDOGO WAKE FLAT SCREEN
USICHEZE NA WATU WENYE PRINCIPLE ZAO, KABLA YA KUKABIDHI ZAWADI YAO ANDREW NA ASINTA KASPEECH KIDOGO!!!
ANDREW ALIAMBIWA LAZIMA UKUMBUKE KUVAA KIAFRIKA
ASINTA YEYE KAPEWA SUFURIA AKIAMBIWA MUME ULISHWA KAMA MTOTO
 ROSE DADA YAKE ANDREW AKITUNZWA NA FUTA JASHO!!!
ANNA AKIMTUNZA SHOGAYE ROSE, USHOGA KAZI!!!
ANDREW ALITOA ZAWADI KWA DADA NA SHANGAZI ZAKE
ANDREW AKIMPA ZAWADI DADA YAKE ROSE 

CHAKULA
NYUSO
AMINA MAMA YA BANDARI KAVU, UMEPENDEZAJE!!! TISHAAA, SIMPLE MAKEUP BY ASILA BRIDAL PACKAGE
MWANAMKE NATURAL UMEONA EEH!!! 
RED CARPET
ROSE NA ANNA WAKIWA NA MARAFIKI
SWAGGA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. classic yn ni mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh!everything is perft!

  ReplyDelete
 2. kila kitu on point,watu wasafiiiiii,simple make up,zawadeeeee za ukwee.

  ReplyDelete
 3. Perfect, mwaaaaa, shughuli imependeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 4. mkumbi umepambwaaaaaaaaaaaa watu wapendezaaaa,clasic clasic

  ReplyDelete
 5. Kweli wametokelezea sana, nimewapenda woooooote na bazee zao. Tena wanataka tuanze kudarizi manake tulishaanza kusahau hiyo style, na mimi naenda kutafuta bazee nikadarizi tena rangi hiyo hiyo ya BLUE na NYEUPE, hongereni sana kwa kutukumbusha fasheni yetu ya MAMA AFRICA

  ReplyDelete
 6. superb! pendezaaa

  ReplyDelete
 7. kwa kweli shughuli yao very nice wamependeza sana hongera zao nimependa kila kitu

  ReplyDelete
 8. jamani nakufaaa kwa wamama walivyo pendeza nisaidieni namba ya simu ya mafundi walio dariziiii jamani kwa kweli dada hellen nisaidie kwa hilo my email is nyalala94@yahoo.com
  hongereni sana

  ReplyDelete
 9. jaman tunaomba fundi aliewashonea weka namba hewan wote tuone plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

  ReplyDelete
 10. party nzuri sana kwa kweli ila tupe namba jibu hapa hapa twende nasi tukashone tuwekee namba dada tafadhali tafadhali

  ReplyDelete
 11. Samahani, Kwa ajili ya ufahamu tu. Naomba nisaidiwe, je lengo la beg party ni nini? 2. Kwanini beg party waandae au washiriki akina mama wakati wanaume hawashirki kitchen party? 3. beg party inachangiaje kwenye kuimarisha doa?

  ReplyDelete