ABUBAKAR & LULU WEDDING RECEPTION!!!!

BRIDE                         ::LULU CHOMBA
GROOM                      ::ABUBAKAR MWILIMA
EVENT                         ::WEDDING RECEPTION
VENUE                         ::MLIMANI CITY
COLOR                        ::RED, EMIRATE GREEN, GOLD & BLACK
BRIDAL MAKEUP     ::B SIX BEAUTY
CAKE                            ::OCCASSIONAL PLANNING
MC                                ::JESSEY MBAGO
CATERER                    ::EDEN
DECOR                         ::MAMA CHIRWA
 ARUSI YA LEO UMEFUNIKWA NA FURAHA KWA PANDE ZOTE ZA FAMILIA YA LULU NA ABUBAKAR, BI ARUSI LULU ALIPENDEZA SANA NA MAKEUP YAKE ILIYOFANYWA KWA UMAKINI ZAIDI NA SALOON YA B SIX BEAUTY, ARUSI YA KUKATA NA SHOKA ILIFANYIKA MLIMANI CITY, ZAMA NDANI KUONA PICHA ZAIDI...

 
MC
MC - JESSY MBAGO NDIE ALIYESHEREHESHA SHUGHULI
MAARUSI WAKIINGIA
 WALIANZA KUINGIA MAIDS WAMEPENDEZAJE...!!!
MAMA WA MZAZI WA ABUBAKAR, 
HELLEN CHIPAKA AKIINGIA UKUMBINI
 HELLEN CHIPAKA ALIINGIZWA NA KINA MAMA WENZAKE, AKIWA KAPENDEZA SAANA, HAPANA CHEZEYA FASHIONABLE MOTHER!!!
KAMATI
TULIANZA KWANZA KWA KUTAMBULISHWA KAMATI ILIYOANDAA SHUGHULI
ABUBAKAR & LULU WAKIVISHANA PETE
LULU & ABUBAKAR WALIANZA KA KUVISHANA CAKE NDIPO MAMBO MENGINE, WAKAENDELEA WAKIWA TAYARI NI COUPLE
DEAL CLOSED SASA NI MR & MRS MWILIMA
MAARUSI WAKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA
DECOR.....!!!!
CAKE
 MAARUSI WAKIKATA CAKE
 MAARUSI WAKILISHANA CAKE
TRUE  KISS!!!!
 HUU MPANGO NILIUPENDA SANA LULU ALIMLISHA BEST MAN & ABUBAKAR ALIMLISHA MATRONE
LULU AKIMPA KEKI MAMA MKWE WAKE HELLEN CHIPAKA
BABA MZAZI AKIPKEA KIPANDE CHA CAKE TOKA KWA MKWE WAKE
BIG HUG FROM DADDY
 CHAMPAGNE
ABUBAKAR & LULU WAKIGONGA GLASS
 HELLEN CHIPAKA AKIGONGA GLASS NA MAARUSI
BURUDANI
MAARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
MAMA AKICHEZA KWA FURAHA
ZAWADI NA MKONO WA PONGEZI
BABA AKIWAPONGEZA MAARUSI
 WAFANYAKAZI WENZAKE ABUBAKAR WAKITOA ZAWADI NA MKONO WA PONGEZI
NYUSO
BABA MZAZI WA ABUBAKAR, MR. MWILIMA
FATMA MMARI & FRIENDS
HELLEN CHIPAKA MAMA WA BWANA ARUSI ABUBAKAR
CHAKULA
RED CARPET
uso
 
 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Kiswahili fasaha kizingatiwe wapendwa, SIO Arusi ni Harusi pia Sio Bwana Arusi ni Bwana Harusi. Tanzania nchi yetu kiswahili Lugha yetu.

  ReplyDelete
 2. samahani sana, napenda tu ufahamu kuwa iswahili sahihi ni ARUSI na si HARUSI, so ilivoandikwa ARUSI na Bwana Arusi ni sahihi kabisa, hicho khassa ndio kiswahili sahihi. Pole.

  ReplyDelete
 3. LAKINI SIUMEELEWA MAANA AU NDIO UNATAKA KUTUONYESHA WEWE WAJUA SANA KISWAHI?

  ReplyDelete
  Replies
  1. we nae umejibu..ukachapia teh teh

   Delete
 4. wamependeza..........

  ReplyDelete