ABUBAKAR BAG PARTY!!!

GROOM                 ::ABUBAKAR MWILIMA
EVENT                    ::BAG PARTY
VENUE                    ::POLICE OFFICERS MESS
COLOR                   ::COLORFULL
MC                           ::MAGONGO +255 754 560 822
CATERER               ::TANZANITE TASTE
 BAG PARTY YA UKWEE'E YA ABUBAKAR MWILIMA, ONLY SON WA HELLEN CHIPAKA, SHEREHE ILIPENDEZA, ABUBAKAR NA WAPAMBE WAKE WALIVAA MASHATI YA PURPLE YENYE NAKSHI ZA SARE YA SHUGHULI, ABUBAKAR AKIPATA ZAWADI ZA NZURI SANA TOKA KWA FAMILIA, MAMA MZAZI ALITTUNZWA NA KUFUTWA JASHO MWENDO WA MAPESA NA WAX ORIGINALLY!!!

ABUBAKAR NA MPAMBE WAKE
MC
MC MAGONGO NDIYE ALIYEONGOZA SHUGHULI, ANAWEZA WADAU, NI MUELEWA WA MAMBO, MANENO MACHACHE KAZI NZURI TUMTUMIE, ANAPATIKANA KWENYE NAMBA +255 754 560 822
KAMATI
 MWENYEKITI WA KAMATI FATMA MMARI AKIKARIBISHA WAGENI NA KUITAMBULISHA KAMATI
MAMA AKIINGIZWA UKUMBINI
HELLEN CHIPAKA MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI ABUBAKAR AKIWAKARIBISHA WAGENI
BIBI AKIMUINGIZA BWANA ABUBAKAR HUKU AKIIMBA LIVE...!!! CHEZEYA KIGOMA
 BAADA YA ABUBAKAR
ABUBAKAR AKIITAMBULISHA FAMILIA YAKE

MTAALAMU WA USHAURI

HII ILIKUWA NZURI TULIKUWA NA MTAALAM WA USHAURI, NDIYE ALITOA NASAHA KWA ABUBAKAR NA WENGINE PIA TULIFAIDI
DECOR
 ZAWADEE
CAKE
 ABUBAKAR AKIKATA KEKI
 MAMA AKIMLISHA KIJANA WAKE
ABUBAKAR AKIMLISHA MAMA KEKI
 CHAMPAGNE
BURUDANI
ABUBAKAR AKITOA KITOKA UNYUMBA BIBI ZAKE
 MAMA MZAZI WA ABUBAKAR HELLEN CHIPAKA AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO
 FATMA MMARI RAFIKI WA KWELI WA HELLEN CHIPAKA AKIENDA MTUNZA SHOGAYE NA KUMFUTA JASHO
 FATMA MMARI AKUMTUNZA RAFIKI YAKE
 WAX ZA UKWEE'E ALMOST ALIMTUNZA PC KAMA 20 HIVI
FATMA AKIMKANDA SHOGAYE
 KISHA AKAMKOSHA KWA PESA
 HELLEN & FATMA MARAFIKI WA KWELI
 MH. MKUU WA MKOA AKIENDA MTUNZA HELLEN
 ALITUPA KIJISTORY WOTE MACHOZI YALILIDONDOKA WEMA AKIBA
 MKUU WA MKOA WA TABORA FATMA AKIMTUNZA MAMA YAKE
 
 HAWA WOTE WAMELELEWA NA HELLEN, KWELI HELLEN NI MLEZI
 VIKOBA WAKIKABIDHI ZAWADI YAO
 HELLEN ALIPEWA MBUZI WA SUPU BAADA YA SHUGHULI AJIPONGEZE
 MC MGONGO NA WENZAKE WAKIKABIDHI MBUZI WA SUPU
MDOGO WAKE HELLEN, FLORA AKIMTUNZA DADA YAKE
 FLORA AKAANZA KUSASAMBUA KISANDUKU, KIDOGO LAKINI KIMEBEBA VITU VYA HAJA
 
 WADOGO ZAKE HELLEN WAKIMFTA JASHO DADA
MAMA MZAZI WA HELLEN AKIMTUNZA MWANAYE

ABUBAKAR AKIPEWA ZAWADI ZAKE
 MAMA PAMOJA NA MASHANGAZI WAKIENDA KUMKABIDHI ABUBAKAR ZAWADI
 HITACHI FRIDGE
 WASHING MASHINE
 COOKER
 KITANDA
 DINNING TABLE
 FLAT SCREEN
CHAKULA
NYUSO
 BIBI YAKE ABUBAKAR MAMA CHIPAKA
 HELLEN & FLORA - SISTERS

RED CARPET
 
 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. sherehe ilifana sana, nampa big mama Mmari na Mkuu wa mkoa walimtunza sana yani ilifana na kupendeza mno

  ReplyDelete
 2. Yani Helen wewe ni mtu wa watu hauna mfano lazima shughuli yako iwe nzuri, umelea wengi na kuwatendea wengi mazuri Allah atakuzidishia kila lenye kheri

  ReplyDelete
 3. shughuli kila kitu perfect!

  ReplyDelete
 4. Mama ya abuuu tiiiishaaaaaaa saaaanaaaaaa, na mama mdogo ya abuu kazi yako ni njema ilionekana weeeeeraaaa, wapi mukuu wa mkoa ya taboraa wewe ni wa mfano wa kuigwa kweli akiba haiozi........anti fatma ndo ushoga huo hongera.

  ReplyDelete
 5. canon safi sana counselor umewakilisha vyema

  ReplyDelete
 6. Yaani hiyo harusi ilikuwa bomba sana, kama mimi ndio mwanamke au ndugu wa mwanamke hatununui kitu, tunajua kila kitu kishanunuliwa. Nimeipenda hiyo TV kudadadeki nchi 51 sio mchezo, yaani hiyo hakuna kutoka home kuanzia Ijumaa mpaka J2 unashinda sebuleni tu, tena unakaa chini na vile vimto uzembe, ole wako tusikie hurudi nyumbani unashinda vijiweni wakati kuna THEATRE home. Hongera sana mama mzaa chema na wote walioshiriki kuandaa harusi hii.

  ReplyDelete
 7. nimeipenda sana keki.. mbunifu huyu hongera zake

  ReplyDelete