NAOMBA KURA ZENU KATIKA SHINDANO LA BLOG BORA YA CHAKULA TANZANIA 2013

MZEE WA MADIKODIKO CHIEF ISSA KIPANDE NA BLOG YAKE YA ACTIVECHIEF BLOG ANAOMBA KURA ZENU KATIKA TANZANIAN BLOG AWARDS
JINSI YA KUFANYA ILI KUMPIGIA KURA, BONYEZA LINK HIYO HAPO


1. Itafunguka ukurasa na kuonyesha website husika ya kwanza kabisa inasema vote for Tanzania best food blog hiyo hiyo fungua . 

2. Kisha utafunguka ukurasa mwingine ukisema PIGA KURA YAKO KUCHAGUA BEST FOOD BLOG bonyeza tena hapo

3. Kisha itafunguka ukurasa wenye majina ya blog zote zinazoshindana blog yetu ya active chef ni yakwanza kabisa bonyeza kiduara cheusi upande wa kushoto ilikuichangua na kisha piga kura yako tukufu tushinde mtu wangu.


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment