NANI ATANYAKUA TAJI LA MISS WORLD!!!

HAWA NDIO KUMI BORA WALIOCHAGULIWA KUWANIA LILE TAJI LA MISS WORLD, NCHI ZA AFRIKA NI CAMEROON & SOUTHERN SUDAN, MSHINDI ATACHAGULIWA HAPO 28TH SEPT, 2012, ....MNAONA NGUO......!!!

 Anna Zaiachkivska – Ukraine.
 Modong Manuela Mogga – South Sudan
 Sancler Frantz – Brazil
 Megan Young – Philippines
 Marine Lorphelin – France
 Denise Valerie Ayena – Cameroon
 Kristy Marie Agapioy – Cyprus
 Kirsty Heslewood – England
Olivia Jordan – United States

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. mmeona msudani alivyokuwa mrefu,na ana mvuto pamoja kwamba ni mweusi sana,lakini anaonekana mzuri,haya huyo mlomchaguwa juzi andunje hana hata mvuto,eti ana elimu wakati elimu ni faida yake mwenyewe,sio tz na wala haiusiani kiivyo na miss world,tz kwakweli mnaboa,

    ReplyDelete
  2. i second u mdau!! Naona miss tz ipo icu muda wwt inaaga dunia!! Cjawah kuona miss mbaya km huyu wa juzi! Elimu k2 gani bana? Kwani Nancy alikuwaga na elimu gan? Kina Lundenga washa faidika vya kutosha,wawaachie wengine waendeshe shindano.

    ReplyDelete