BRIDE ::HUSNA
EVENT ::HUSNA's NIGHT
VENUE ::WATER FRONT
COLOR :: ORANGE & LIGHT BLUE
ENTERTAINMENT::RUSHA ROHO
HAYA HAYA WADAU NI USIKU WA HUSNA HAPO WATERFRONT, NGUO YA HUSNA NI YA KIASILI MIMI NIMEIPENDA NIKIPATA TU JINA LA MBUNIFU NITAWAHABARISHA, HAPANA CHEZEYA MAMA PAPA, MWANAMKE MFANYABIASHARA ALITISHAJE, WAHESHIMIWA NDANI YA NYUMBA, NISIMALIZE UONDO ZAMA NDANI
MAMA PAPA NA MDOGO WAKE WAKIINGIA UKUMBINI
WAPAMBE WA HUSNA TASHTITI
MAMA MDOGO AKIKARIBISHA WAGENI
DECOR.....
HUSNA ALIWEKEWA STAGE YA KUINGIA
ZAWADEEE
CARD YA MUALIKO
HUSNA AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA YAKE..!!
CAKE
CAKE MFANO WA KITANDA
CHAMPAGNE
MAMA PAPA NDIO WA KWANZA KUTOSS NA BINTIYE
WAZAZI WAKIONGEA NA HUSNA...!!!
MAMA AKIONGEA NA MWANAYE
HUSNA ALIHUG MAMA HUKU AKILIA
BAADA YA MAMA PAPA KUONGEA NA MWANAYE ISHA ALIIMBA WIMBO WA MWANANGU NINAKUHUSIA.......MALIZIA
MAMA PAPA NI MKARIMU SANA AKIMSHUKURU ISHA
MAMA TERRY AKITIRIRIKA
BAADA YA KUMALIZA YOTE HAYO HUSNA ALIBADILI NGUO, JEURI YA MAMA PAPA MFANYABIASHARA MKUBWAAAA.....!!!
CHEZA
ISHA AKITUPA RAHA...!!!
HAPANA CHEZEYA WENYE PESA, MAMA PAPA TUPA KULE DOLAR...!!!
SHANGWE ZA ISHA NDANI YA NYUMBA
SI UNAJUA MASHAMBULIZI YA ISHA BASI FUJO TUPU...!!!
AUNT SADAKA AKIMPA HONGERA ISHA...!!! MASHAIRI YA MAMA YANAGUSA
MUHESHIMIWA MBUNGE KAGUSWA
SHOSTITO WAKICHAT
NYUSO
WAZAZI NA WANAO
MWANAHARAKATI, MUHELIMISHAJI MASWALA MBALIMBALI YA JAMII, AUNT SADAKA GANDI
PENNY, DIAMOND MAMA & SISTER
MKE WA WAZIRI LUKUVI
VIP TABLE
MAMA PAPA NA MABINTI WAKE
ISHA MASHAUZI, A.K.A RAISI WA WANAWAKE WAPIGANAJI
MAMA PAPA PENDEZA EEH!!
FAITH & FRIEND
MAMA MDOGO NA MC JOJO, A.K.A SAUTI YA SIMBA
WAHESHIMIWA MAMA TERRY & ALSHYMAR
MAMA MDOGO
MUHESHIMIWA MBUNGE ALSHYMAR
MWANAHARAKATI MAMA TERRY
HUSNA ALIANZA KUWAPA ZAWADI WAZAZI WAKE
ZAWADI
ALIANZA MAMA PAPA KUMPA ZAWADI BINTI YAKE
MAMA PAPA ALIMTAYARISHIA MWANAYE BEDROOM SET, ALIANZA KUMPA KITANDA,
HAPA NDIO MAHALI PAKO PA KUJIPAMBA MWANANGU
UMEONA NGUO NDANI HAPANA CHEZEYA MAMA PAPA UKO JUUUU
NA HILI NDILO KABATI LAKO LA VYOMBO
AKIMKABIDHI MWANAYE DINNING TABLE
MTOTO KWA MAMA HAKUI
MAMA NA MWANA
MAWIFI WAKITOA ZAWADI
SOMO NA KAMPANI YAKE WAKIMPA HUSNA ZAWADI ZAKE
MAMA PAPA AKIFUTWA JASHO.....!!!
MAMA PAPA AKIWA TAYARI KUFUTWA JASHO
ILIKUWA FUJOOOOO!!!
MAMA PAPA AKITUNZWA MAHELA HAPANA CHEZEYA
MKE WA WAZIRI LUKUVI, MBUNGE ALYSH
FURAHA ILIYOJE, MAMA PAPA ALISHINDWA KUJIZUIA
BIG HUG TOKA KWA MUHESHIMIWA MBUNGE
MAMA PAPA NA RAFIKI ZAKE
WANAKAMATI WAKIMCHUKUA HUSNA KWENDA KUMKABIDHI ZAWADI
HUSNA AKIONYSHWA JIKO NA M-KITI WA KAMATI
HUSNA AKIWASHUKURU WANAKAMTI KWA KUKAMILISHA SIKU YAKE NA KUMPA ZAWADI
MAMA PAPA AKITOA SHUKRAN ZAKE KWA WAALIKWA
WANAKAMATI KATIKA PICHA YA PAMOJA
CHAKULA
RED CARPET
Watu wamependeza, shughuli imetulia. Hongera Husna. MMh MC na hao waliojiweka mapowder dah jamani kuna vioo. Mashughuli anarusha kila siku make up za watu mbalimbali mpaka wapi unaweza kwenda kufanya makeup lakini majanga
ReplyDeleteAsilimia kubwa ya watu wamependeza mashaallah, bibi harusi kazuri ka cute kwa kwli. Apart frm the make up mulfuctionists, kp imeenda shule evrthng on point. Am nt disapointed at all, thumbs up kwa mama harusi
ReplyDeleteMlengwa alipendeza sana. Naomba kujua inshu ya mapambo alihusika nani. Nimependa sana jinsi kulivyopambwa. Asante
ReplyDeleteHalusi ilipendeza sana hasa aliyepamba ukumbi amejitahidi kama ntapata number yake ntafulahi sana
ReplyDeleteHongera sana sgughuli ilikuwa nzuri mno nimeipenda mno nguo ya bi harusi mtarajiwa mungu akulinde na mabaya
ReplyDelete