Sponsor

WATANZANIA WAISHIO KIHALALI UK KUONGEA NA MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU PINDA

7:22:00 PM

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania London unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo Ubalozini siku ya Jumanne (tarehe 6 Agosti 2013) kuanzia saa Kumi na Nusu alasiri (1630 hours au 04.30 p.m.).

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.