Sponsor

SIFA KWAKO RAISI WETU!!!

7:26:00 PM


Raisi wangu Jakaya Kikwete juhudi zako kubwa za kuitangaza nchi yetu kwa mazuri na utajiri Mkubwa tulio nao lazima zisifiwe sana tena sasa hivi. Nasikitika kuna mtu mwingine atakuja kuzibeba sifa hizi za kwako akiwa yeye raisi kwa wakati huo. Bravo JK you deserve all the accolades for the great PR witnessed by the visits of all these presidents.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.