Sponsor

SHEKINAH GARDEN SIKUKUU YA EID!!!!!

7:51:00 PM

KATIKA KUSHEREKEA SIKUKUU YA EID EL FITRI SHEKINAH GARDEN ILIYOKO MBEZI BEACH IMEKUANDALIA MICHEZO MBALIMBALI YA WATOTO NA BURUDANI KABAMBE TOKA KWA DJ MWENYE KIWANGO CHA JUU, BILA KUSAHAU NYAMA CHOMA YA NGUVU, KIINGILIO NI SAWA NA BURE MTOTO ATACHEZA MICHEZO MBALIMBALI WOTE MNAKARIBISHWA!!!!!
GARDEN ZA SHEKINAH ZINA MANDHARI YA KIJANI MTOTO ATACHEZA KWA FURAHA HAKUNA VUMBI...!!! UMEONA EEH!!
WAKATI WATOTO WANACHEZA WAZAZI WATAENDELEA KUPATA VINYWAJI NA BURUDANI ZA KUTOSHA.....!!!
SHEKINAH GARDEN NI WAKALI KWA NYAMA CHOMA!!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.