ONJA:: RHODA's LADIES PARTY!!!!!

 BAADA YA KUMALIZA MWEZI WA RAMADAAN NA SIKUKUU YA EID SASA MAMBO POA, SHUGHULI YETU YA KWANZA HII HAPA...!! HAPANA CHEZEYA IKO BOMBA KICHIZI UKUMBI WA MWIKA UMEBADILISHSHWA.....CHEZEA WATU WENYE KUPENDA VINZURI...!!

 RHODA...!!!
MC ADELA ANASEMA SASA YUKO KIVINGINE KABISA...!!
RHODA
 MWARI NA SOMO
 MAMA MZAA CHEMA
ILIKUWA RAHA KUKUTANA FAUZIA!!!!
MDAU WANGU WA UKWEE'E ULITOKAJE!!!
 CUTE
LILIAN KARAMUNA & FRIEND
 KARAMUNA FAMILY
 MASHOSTITO JACK & JULIE
 PENDEZA EEH!!
 LILIAN KARAMUNA
 JACK & DOROTHY
 CHEERS...!!
 NYOTA ABDALLAH AKIIMBA...!!!
 JACK UMEGUSWA EEH!!
 LILIANI KARAMUNA TUNZA KWA FUJO.....!!!
 NIKIGUSWA ZINANITOKA TU....!!!
 KIUNO CHA WAPI? TUNDURU..... KIJOTI JOTI SHTUA
KARDASHIAN UKO JUUUU!!!
 HASIRA ZA KUTUZA, HAPANA CHEZEYA LEMIRA
 NURU M/KITI WA KAMATI AHAPANA CHEZEYA YUKO JUUUU...!!!
NURU AKIMTUNZA SHANGAZI WA BI ARUSI, ANNA...!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. SIO MCHEZO, KITCHEN PARTY YA NGUVU MASHALLAH.

  MASHUGHULI TUWEKEE PHOTOS NYINGINE SIE TULIOKOSA KUHUDHURIA LADIES PARTY.

  HIVI KWELI HII NI MWIKA NINAYOIFAHAMU AU UKUMBI MWINGINE? TUPE HABARI ZA MPAMBAJI MAANA STAGE LIMENOGA ILE MBAYA.

  HOMGERA DADA NURU MWENYEKITI WA SHUGHULI UPO JUU NA MAMBO YAKO SUPER.
  UBARIKIWE LEO NA HATA MILELE

  ReplyDelete
 2. More picha jackie siku hizi amekuwa kardashian?makubwa

  ReplyDelete
 3. Weka picha Jamari du kardashian si mchezo

  ReplyDelete