LA PHIMONA LOUNGE!!!!

HAYA WADAU WA MASHUGHULI BLOG KIJIWE KIPYA CHA KULA RAHA!!! HAPA NI MAMBO YA FULL AC, UNAKAA KWENYE  SOFA HUKU UNAPATA KINYWAJI, BIG SCREEN WITH DSTV....!!!! HAPANA CHEZEYA MAMBO YA KINONDONI KWA WAJANJA!!!

CLUB YAKO YA PHIMONA LOUNGE ILIOKO KINONDONI KWA MANYANYA INAKULETEA DISCO LA NGUVU KUANZIA ALHAMISI, IJUMAA NA JUMAMOSI, DJ MWENYE UZOEFU WA KUWARUSHA NA MIZIKI BOMBA, USIKOSE KUONJA LA PHIMONA SPECIAL MISHIKAKI YA FILLET (BEST IN TOWN) MCHEMSHO WA KUKU, NG'OMBE FOIL NA VINGINE KIBAO!!!

La PHIMONA WHERE OLD & NEW FRIENDS MEET!!!!
KARIBUNI SANA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment