IFTAR NYUMBANI MARIAM MNTAMBO!!!!

JANA MARIAM MNTAMBO ALIFTURISHA NYUMBANI KWAKE, NA MIE PIA NILIBAHATIKA KUWA MMOJA WAO WALIOALIKWA, KUNA NYUMBA UKIALIKWA HUNA WASIWASI MAANA UNAWAJUA KUHUSU JIKO, WATOTO WA MAMA SALMA MNTAMBO HAPANA CHEZEYA WANAJUA KUCHEZA NA MWIKO BANA....!! ZAMA UJIONEE
MANDAZI

KATA KIDOGO(CUTLESS)
CHAPATI
MUHOGO WA NAZI
KUKU WA KUKAANGA
 SAMOSA
 MKATE WA UFUTA
 VITUMBUA
 EGG CHOP
 SAMAKI CHANGU WA KUKAANGA
 MAINI-YALIKUWA MATAMUJE
 TAMBI
 NDIZI TAMU
 NDIZI BUKOBA & NYAMA
 BI ARUSI FUTURU WEE...!!! 
WAALIKWA WAKIPATA FUTARI...!!!
 JASMINE AFUA
 HAJARY, PENNY, HALIMA & ZAKIA BI ARUSI...!!
 SAADA, ZAKIA & JASMINE
 SWEET BABY PENNY & HALIMA KAMUSI HK's COLLECTION
 TINDWA & MARIAM K
 MAMA SALMA MNTAMBO TAJIRI KUBAAA!!
 SAMEERA & JACKLINE
 POZI YA ILHAMU & BAI
 UMMY & BAI
 MKUU NA BABY LULU
 MARIAM & JACKLINE WOLPER
 MAMA NA MWANA
 MAMA MNTAMBO NA WANAWE!!!
 LATIFA & HALIMA KAMUSI
BAADA YA IFTAR, IKAFUATA DUA...!!
 RED CARPET
 BABY LULU NA DIRA LAKE
SHOSTITO'S HELLEN & SAMEERA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. manshaalah mungu ajaalie dua mungu aipokee amiiin

    ReplyDelete
  2. Helen sistaa, umependeza sana , namuomba Mungu aendelee kukusimamia!!!!!

    ReplyDelete