Sponsor

IFTAR NYUMBANI KWA HALIMA KAMUSI!!!

10:40:00 AM

CHANGU KAANGA
JAMANI MSIWAONE WADADA HUKU MJINI WANAPENDEZA MKADHANI HAWALIJUI JIKO, HAPANA CHEZEYA HALIMA KAMUSI MAANA YEYE KANIKUMBUSHA BUFFER LA NZAZIBAR UNAHESABU VYAKULA MPAKA WACHOKA, KAMA KAWAIDA YAKE KILA MWAKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI USOMA DUA YA KUWAREHEMU WAZEE WAKE NA KUFTURUSHA....MPISHI YEYE MWENYEWE NDIO MAANA HAYUMO PICHANI NO ORDER...!!

MKATE WA UFUTA
KATAKIDOGO (CUT-LESS)
KUKU KAANGA
KACHORI
KABABU ZA KUKU
MAAMRI KAMA SIJAKOSEA
MKATE WA KUMIMINA
NDIZI MBICHI
NDIZI TAMU, JAPOKUWA SIJAPIGA PICHA MSHIKAKI YA KUKAANGA YA SAMAKI
 KHALID & FRIEND
IBRAHIM KINABO
 MARIAM MNTAMBO
 MERRY, SHARRIFA & SHARRIFA OSMAN
HAJARY, MARIAM & AMU
 REHEMA SAMO & FRIEND
 KHADIJA MWANAMBOKA
 MARIAM
 MY ASSISTANT BABY SARAH

You Might Also Like

3 comments

  1. Kaimati badala ya Maamri

    ReplyDelete
  2. hahaha nimeipenda iyo kata kidogo 'cut-less'

    ReplyDelete
  3. manshaalah safi mnatutamanisha tu sie tsiekuwepo home

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.