FIRST LADY BEAUTY SALOON & SPA!!

HAYA HAYA WADAU MAMBO YA SAMORA AVENUE, NAWATAMBULISHA KWENU SALOON YA UKWEE IKO KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, JENGO JIPYA LA NHC PLAZA GROUND FLOOR, SALOON YA KISASA KABISA WANA MASHINE ZA KISASA, DRYER ZILE ZISIZOUNGUZA, UKIFIKA SALOON UTAPOKELEWA NA WAFANYAKAZI WACHESHI WENYE UJUZI WA KAZI ZA SALOON
FIRST LADY BEAUTY SALOON WANATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-
- WANASUKA MITINDO MBALIMBALI YA NYWELE
- WANAFANYA MAKEUP KWA BI ARUSI NA WAPAMBE WAKE
- WANAKATA NYWELE MITINDO MBALIMBALI
- WASH & SET
- DRY SET
- PEDICURE & MANICURE
FACIAL NA MENGI ZAIDI
WANAPATIKANA.:NHC PLAZA, GROUND FLOOR, SHOP NO.:21 SAMORA AVENUE, DAR ES SALAAM
MAWASILIANO.:+255 714 841 129/255 752 769 359
ZAMA NDANI KUONA PICHA ZAIDI..!!

 VITI VYA KISASA, MAALUM KWA AJILI YA SALOON
 KITI CHA KUOSHEA NYWELE, PIA KITASAIDI MGONGO WAKO KUPUMZIKA WAKATI UNAOSHA NYWELE 
 HUMO HUMO NDANI YA SALOON KUNA DUKA UATAPATA WEAVING NA BIDHAA ZA UREMBO
 PIA NI WAUZAJI WA EVENING DRESS ZENYE UBORA ZAIDI

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. KWELI MJI HUUU KUNA VITU VIZURI. TEMBEA UONE.HARUSI YANGU NI NOVEMBA TUTAFUNGIA AZANIA LAZIMA NITINGE FIRST LADY SALOON MAANA NI KARIBU SANA NA AZANIA.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Azania Front na First lady saloon si mtembee kwa mguu ukiwa umevaa shela?

   Delete
 2. Waoh, na sisi yetu ni Novemba St. Joseph lazima tuzame FIRST LADY NA MAIDS WANGU. Watatukomajeeee.

  ReplyDelete
 3. Nasikia bado wanapokea maombi ya kazi kwa gharama yoyote lazima niajiliwe FIRST LADY SALOON.

  ReplyDelete
 4. Jana nilienda kusuka mabutu FAST LADY SALOON, kwakweli nilii enjoy maana nilisukwa nikiwa nimekaa kwenye kiti huku nimenyoosha miguu kwenye kiti kingine nasoma magazeti na kuangalia TV. Muda wote full kiyoyozi baridiiiiiiii utadhani uko Arusha, nilistareeje?

  ReplyDelete
 5. Kwa kweli FIRST LADY nimkombozi wa akina mama waheshimiwa (Wabunge na Mawaziri) maana kwakweli uwasijisikii vizuri pale tunapokuwa nao katika saloon ambazo unadhifu wake uko chini au wahudumu wa saloon hizo sio nadhifu. Pale mwanangu ukifika parking za uhakika na ulinzi juu. Unajilemba roho yako ikiwa kwatuuuuuu.

  ReplyDelete
 6. Basi shost leo nikazama FIRST LADY SALOON na ka shs 10,000.00 nikasema sijui nitapata huduma gani mie kwa ajili ya maandalizi ya Idd. Kwa jinsi palivyo poa nilidhani bei ni za kuua mtu kama kwa akina A............. cha kushangaza nimeosha na kuseti nikapaka rangi miguuni kwa ela hiyo hiyo.

  ReplyDelete
 7. Mie nimepata nguo ya harusi ya kukodi ikiwa na shela yake, gloves, viuwa vyakichwani gharama yake shs. 150,000.00 sikuamini. Wamesema wananguo za kukodisha maids na matron nataka niwapeleke maids na matron wafanye fitting baada ya idd. Sina mbango wakushona nikaanza gombana na mafundi bure. Yaani maisha mteremko kila kitu nitapata sehemu moja nguo yangu, ya matron, ya maids, kupambwa mimi na watuwangu gharama zote hazifiki hata milioni moja (1,000,000.00). Mwenyezi MUNGU anipe nini?

  ReplyDelete