Sponsor

EID TUTOKE VIPI???

2:29:00 PM

 HAYA WADAU WANGU TUNAMSHUKURU M/MUNGU TUMEMALIZA  RAMADAAN SALAMA NA TUMEJAALIWA KUISHEREKEA  SIKUKUU YA IDD, KAMA KAWAIDA WATANZANIA HATUNA UBAGUZI WA DINI SHEREHE NYINGI TUNAJUMUIKA PAMOJA HICHO NDICHO KITU KINACHOTUTOFAUTISHA TANZANIA NA MATAIFA MENGINE, MAVAZI YA SIKUKUU YA IDD YAKOJE?? SIO KUVAA ILI MRADI HAPANA,  KESHO MIE NATEGEMEA KUSIKIA HARUFU NZURI UDI KILA MMOJA UNAMSHINDA MWENZIE HAPA NAONGELEA DRESS CODE.....!! IDEA CHACHE HIZO NIMEGOOGLE...!! STILL BADO UKATOKA BOMBA TU....!!!!
KWA WALE FASHIONISTAZ LKN SIO TRANSPARENT HIVI...!!!

KESHO TUTAKUWA EID NIMETOKAJE??? PICHA KIBAO ZA WADAU.....


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.