DADA DINA CARES ATIMIZA NDOTO YAKE KWA KULA CHAKULA NA WATOTO YATIMA!!!

 DINA MARIOS WA CLOUDS REDIO ATIMIZA NDOTA YAKE YA KULA PAMOJA NA YATIMA NA KUSHEREKEA SIKUKUU MBALIMBALI, KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKE HIYO ALISINDIKIZWA NA MASTAA WA HAPA KWETU WAKIWA NA WATOTO WAO, NACHUKUA NAFASI HII KUMPONGEZA DINA MARIOS KWA KUFANYA KITU KINZURI KINACHOPENDEZA MBELE YA JAMII, PIA DINA ANATUKUMBUSHA HATA SISI WENGINE TUKUMBUKE KUWASAIDIA HAWA WATOTO KWA CHOCHOTE KILA ULICHONACHO SIO MPAKA UWE NA MAHELA HATA UPENDO WA DHATI KWAO UNATOSHA!!!!!

KUOMA PICHA ZAIDI TEMBELEA http://dinamarios.blogspot.com/

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments: