ASILA BRIDAL PACKAGE!!!!!

 BI ARUSI KABLA YA KUFANYIWA MAKEUP NA ASILA NA PIA NYWELE KUBANWA
WOOOOH!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Hawa nimewakubali, maana wao kila biharusi na style yake ya nywele sio wale wengine kila biharusi style ya nywele ni hiyo hiyo mpaka wanaboa. Tunawasema kiroho safi tu ili wabadilike.

  ReplyDelete
 2. Kweli woooow! Huyu dada binafsi namkubali sana. Na nimeshamwambia mdogo wangu mambo yote kwa Asila. Can't wait to be there. Hata kwa mtoko tu lzma nije mamii. Hongera sana Asila kwa kazi nzur.

  ReplyDelete
 3. Tafadhali naomba nijue charges zao kwa ajili ya sendoff na harusi.

  ReplyDelete
 4. Pitia blog yake www.asilabridal.blogspot.com

  ReplyDelete
 5. hata mm nimewakubali vibaya mnooooooooooooooo.hongereni asila bridal mpo juuuuuu.kept it up.luuuuuuuuuuuuuv

  ReplyDelete
 6. hata mm nitaenda huko kwa kweli nimewapenda sana

  ReplyDelete
 7. mashaallah asila jicho la hasidi lisikupate. yaani umemfanya biharusi aonekane she has her own natural beauty. yaani make up haikukithuri.

  ReplyDelete
 8. Jamani naweza kupata no zao jmni..i luv it aloot

  ReplyDelete