ALICIA K DESIGN WANDAA USIKU WA WAJASIRIAMALI ARUSHA

 MBUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) SHYROSE BHANJI, AKIZUNGUMZA KWENYE HAFLA HIYO YA CHAKULA CHA JIONI. KATIKA KUWAONGEZEA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MBINU ZA UJASIRIAMALI

MUHESHIMIWA MBUNGE SHYROSE BHANJI AKIWASHA MSHUMAA KAMA ISHARA YA UPENDO, PEMBENI YA SHYROSE BHANJI NI MKE WA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, FARAJA KOTA NYALANDU NA MJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA, ISABELA MWAMPAMBA
 MUHESHIMIWA MBUNGE SHYROSE BHANJI AKIWALISHA KEKI
 KWAITO KAMA KAWA KILA SEHEMU INAHUSIKA
MBUNIFU ALICIA K, AKITOA SHUKURANI
PHOTOCREDIT-ISSAMICHUZI BLOG

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment