ZAKIA & BARKAT WEDDING DINNER!!!

BRIDE   ::  ZAKIA
GROOM::  BARKAT            
VENUE  ::  PJ HALL   
COLOR  :: BLACK & WHITE
EVENT   :: WEDDING DINNER
ENTERTAINMENT:: TAARAB LIVE BAND 
MR & MRS BARKAT PENDEZA, MASHOSTI WAKE WATATU  WAMFANYIA SHUGHULI PAMBEEE, USHOGA NDIO HUU....!!! WANA WA MUJINI UNAWAJUA ZAMA NDANI...!!!

 ZAKIA AKIINGIA UKUMBINI....!!!
 AKAFUATA MUME KUINGIA
 ZAKIA AKIMPOKEA MUMEWE KWA RAHA TELE!!!!
 MBURUZO UMETULIA EEH!!!
 MARIAM MNTAMBO AKISOMA DUA YA KUFUNGUA SHUGHULI
SHARRIFA AKIWAKARIBISHA WAGENI WALIKWA KWENYE SHUGHULI..!!!
ZAKIA & BARKAT, WAKIWA NA MARIAM, SAADA & SHARRIFA, HAWA NDIO WALIANDAA SHUGHULI, WALIMWANDALIA SHOSTI WAO WEDDING DINNER INAPENDEZAJE....!!!
SAADA, SHARRIFA & MARIAM WAANDAJI WA DINNER YA BARKAT & ZAKIA
CAKE
 WALE WADADA WA MJINI WATATU WAKIPATA KEKI YAO!!! YA ASANTE KWA KUANDAA SHUGHULI SIMPLE & CLASSIC!!!
CHAMPAGNE
 SAMEERA, MARIAM K & KHADIJA WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
 
 BURUDANI
 ZAKIA NA MUMEWE BARKAT WAKIFUNGUA MZIKI
NYOTA AKITUPA RAHA...!!!!
NAONA KITAMBAA CHEUPE EEEH!!!
CHEZA SHOSTI SIKU YAKO WALISEMA HAYAWI MBONA YAMEKUWA........!!!!
ZAWADI
 TABU ALIANZA KUMPA ZAWADI
 TABU AKIMTUNZA MDOGO WAKE MIPESA!!!
 WAKAMTUNZA NA ZULIA
NYUSO
NYOTA NA MAARUSI
 MARIAM, KHADIJA & SHARIFFA
ROSE, MERRY & FRIEND
 SHARIFA KAVU HAPANA CHEZEYA YEYE!!!
 SALMA MNTAMBO & FRIEND
 PENNY & BAI
 MARIAM & KHADIJA
 MEZA ILIYOKAMILIKA SI UMEONA EEH!!
 BIG BAI & FRIEND
 SALMA MNTAMBO A.K.A JITU BAHARI & SHOSTI WAKE.....LOL
 SAADA & MARIAM
 NYOTA & ZAKIA

RED CARPET
PENNY
MC JAMILA KTIMTIM
TABU MABOBISHI, DADA WA BI HARUSI
 
 SHARRIFA, KHADIJA & MARIAM
 SHARIFFA KAVU
 SALMA & NYOTA
SWAGGA
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. wamependeza nimependa biharusi nguo imemkaa haijapungua wala kuzidi hongera mungu awalinde mdumu daima katika ndoa yenu

    ReplyDelete
  2. Dada Helen nikija tz unazawadi yako wee kumbuka hii comment nikija nitakukumbusha napenda unavyojituma safi sana yaani sisi ndio unatupa raaaha tukikumbuka nyumbani tunaingia mashughuli tunatulia tuna kula raha mungu akupe afya na nguvu uzidi kutafutia wanao rizki amiin

    ReplyDelete
  3. Hahahahaaaaa kuna hao wawili wamevaa black sare,pochi sare,vikofia vya silva sare,viatu sare,nimechekaaaaaaa jamani mjini kuna mambo,kama mizuka

    ReplyDelete