WEMA SEPETU AFTURISHA YATIMA!!!

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA PALE NYUMBANI KWA WEMA SEPETU, GETI LILIKUWA WAZI BAADA YA AZANA WATU WALIINGIA KUPATA FUTAR, HII NDIO OFFICIAL ILE YA KWANZA ILIKUWA NI KWA AJILI YA BIRTHDAY YA KAJALA, WEMA ALIWAFTURISHA WATOTO YATIMA NA TULIANZA NA KISOMO KWANZA....!!! LIKE OUR FB PAGE KWA KUBONYEZA LINK MASHUGHULIBLOG FACEBOOK PAGE
MARAFIKI WA WEMA WALIKUWEPO KUMSUPPORT.....!!!!

WAALIKWA WAKIINGIA
DUA
YALIKUWA SI MAMBO YA MZAHA, TULIANZA NA KISOMA KWANZA BAADA YA DUA NDIO TUKAFTUR
 WATOTO YATIMA AMBAO WEMA SEPETU NDIO KUSUDIO LAKE KUWAFTURISHA....!!! NA SIE TUKAALIKWA KULA NAO PAMOJA..!!!
 WATOTO WAKISOMA QUARAAN TUKUF...!!!
 MTOTO YATIMA AKISOMA DUA!!! JAMANI SIJUI NISEMEJE, TUNATAKIWA KUWAKUMBA SANA HAWA...!!!
 WEMA AKIITIKIA DUA...!!!
IFTAR
WADAU HAPA LAZIMA NIWAJUZE TULIFTUR NINI, JAPOKUWA KIPENGELE HIKI SIKU ZA KAWAIDA HAKUNA NI KATIKA ULE MPANGO WA KUPUNGUZA PICHA, LAKINI RAMADAAN MWEZIE FUTAR, CATERER NI YULE YUEL MAMA WA MADIKODIKO MARIAM TWAHIR, SIJUI NIMUITAJE HUYU BINTI YA SEPETU DIVA OR STAR??? MASHALLAH IT WAS REALLY NICE....!!!
 CUTLESS ZA NYAMA & NDIZI TAMU
 SAMAKI WA KUKAANGA KING FISH & VITUMBUA
 MKATE WA MAYAI & KUKU WA KUKAANGA
 NGISI & MCHUZI WA KIMA
 TAMBI ZA KUKAANGA ZIKATUPIWA ZABIBU & KABABU
 ANDAZI NA MUHOGO WA NAZI
SAMOSA, MKATE WA UFUTA & CHAPATI
BAADA YA FUTAR, TUKAPITISHIWA NYAMA MBUZI CHOMA, HAPANA CHEZEYA TAMUJE?? HII NI MARA YA PILI NAKWENDA STAR WEMA SEPETU NAKULA MBUZI CHOMA!!!!
 WAALIKWA WAKIPATA FUTAR
SALMA MSANGI!!! KIM K
 WATOTO YATIMA WAKIPTA FUTAR
 GYVER LA TREND & MISSIE-POPULAR, FASHION BLOGGERS!!! 
AUNTY LULU ALIONDOKA NA DAKUUU, CHEZEYA MARIAM TWAHIR!!!
NYUSO
MABINTI WA SEPETU, WEMA & NURU...!!! YOU CAN SEE!!
WEMA & JUNAITHA - SHOSTITOS!!!!
KHADIJA, REHEMA & MISHY
RASHIDA & FRIENDS
HANAPA CHEZEYA MUNA....!!! TISHA
BEATRICE & SHOSTITOS
GYVER LA TREND BLOGGER & FRIEND
FAYE...!!!
PENDO & SHOSTITOS
BEATRICE
MISHY
ANAPENDA SANA WATOTO...!!!
KHADIJA MWANAMBOKA & REHEMA 
WANAUME
RED CARPET
HII ILIKUWA BAADA YA IFTAR SI UNJAU SWAUMU!!!
WEMA & WODOGO ZAKE...LOL
MIMI UWA NASEMA SISTERS FOREVER!!!

NURU SEPETU NA WADOGO ZAKE WEMA & JENIPHAR
JENIPHAR NA AUNTY YAKE FAYE!! NIMEFURAHI SANA KUKUONA MY SISTER!!!

JENIPHER, BILAL & MUNA
ANNA & NURU SEPETU-SHOSTITOS
BILAL MASH MASH
REHEMA, SALMA, MISHY & WEMA
MISHY, JENIPHAR PEMBA & WEMA
JENIPHAR & WEMA'S SISTER, NURU SEPETU
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

17 comments:

 1. mashallah ilikua nzuri sana, mbona mama wema hayumo au hukumpa mwaliko?

  ReplyDelete
 2. inshaalah kheri wema mwenyeez mungu akuzidishie,jina lako lina maana kubwa sanaaaa.

  ReplyDelete
 3. inapenda kuwakumbuka waislam wenzenu katika mfungo huu mtukufu wa ramadhani

  ReplyDelete
 4. penda sana wema mw. mungu azidi kukujalia kila lenye kheri nawe

  ReplyDelete
 5. mashaallah amefanya kitu kizuri mungu amzidishie penda sana wema panda

  ReplyDelete
 6. sasa alifuturisha watoto yatima au mashost???
  acheni kughush

  ReplyDelete
 7. ishalla ilikuwa nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 8. Mwenyezi mungu anasema wathamini baba na mama upate heri duniani sijui kama anapata thawabu kwa anayowatendea wazazi wake,mimi sio muhukumu ila baba na mama ndio mungu wako wa pili.angalia walivyokulea utotoni.

  ReplyDelete
  Replies
  1. """"""""""""""PLS UIWEKE HII"""""
   NA WEWE NAWE HUKUWEPO PALE SIUTUULIZE SIE KAMA MAMA YAKE HAKUWEPO AU ALIKUWEPO .UNASEMA AWAHESHIMU BABA NA MAMA NDO MUNGU WA PILI UNAMSOMA MAGAZETINI TUUU HUKAI NAE WALA HUJUI YAKE SASA HAO WANAOJIUZA MAGOTI AU WANATENGENEZA PICHA ZA UCHI UNGEWAOMBEA NINI MBELE YA ALWAH KWANI HAWANA WAZAZI , YA FAMILIA WACHIE WENYEWE HATA TUMEONESHWA IFTARI

   KUMBUK NAWEZA KUWA MLEVI AU SIIKII WAZAZI LABADA NIMERITH WE UNAJUA HAYO . 'KIKUBWA MUOMBEE MAGHFIRA ASITIRIKE NA AWASITIRI WAZAZI

   Delete
 9. hao yatima wako wapi jamani au ndo sifa tu....kutengeneza jina....kuna thawabu kweli hapa??????????

  ReplyDelete
 10. kwa hyo hapo asilimia kubwa ni mayatima au wengine kupenda kula tu ndio kumewapeleka.

  ReplyDelete
 11. Jamani acheni unafiki kwani hao yatima hamuwaoni au mwataka kumkejeli mwenzenu kafanya jambo la wema mnajifanya hamuoni wanafiki wakubwa

  ReplyDelete
 12. tena mkome msimuuzi wema wetu inshaalah mwentez mungu akuzidishie amin

  ReplyDelete
 13. Binadamu huwa hamkosagi la kusema kuwaalika baba na mama ni lazima media zote zijue? acheni roho ya korosho na hao yatima hamuwaoni? Wema tuko pamoja inshallah mungu atakuzidishia ameen.

  ReplyDelete
 14. hao wanaomsema wema kwanza wangejitazama wao, ikisha ndo wakahukumu wengine. kwani huenda yeye akawa ni bora zaidi kuliko wao, WATANZANIA BWANA!!! WANA ROHO ZA KWANINI HASA UKIJAALIWA NA KUNEEMESHWA HAWAPENDI INGEKUA WANAWEZA WANGEWEKA NGAZI WAKENDA KUZIBA, BUT SEMA MTOAJI NDO HAAINDILIWI HATA UENDE KWA MGANGA NI BURE UNAJISUMBUA.

  ReplyDelete
 15. GUYS YOU NEED TO GROW UP!!! CONCETRATE WITH YOUR LIFE AND LET WEMA BE!!! THINK HOW YOU WILL HELP OTHER PEOPLE AND STOP CRITISIZING THOSE WHO ARE WILLING TO HELP.

  ReplyDelete