WEDDING RECEPTION - ABDUL-KARIM KISMAT & SUIREIYABEGUM ASLAM!!

GROOM           :: ABDULKARIM
BRIDE               :: SUREIYA
VENUE              :: DIAMOND VIP
COLOR             :: RED & MAROON
WALIANZA KUINGIA MALAIKA HAWA HUKU WAKIMWAGA MAUA

DECOR...!!
PETE
KIM AKUBUSU MKONO WA MKE WAKE
CHAMPAGNE
KILA MEZA ILIFUNGUA CHAMPAGNE
 CAKE
ZOEZI HILO LILIENDELA HUKU PIA, MAMA NA BABA KISMAT WAKILISHANA KEKI
KAMA KAWA MR & MRS TAMBA
NYUSO

RED CARPET

USISHANGE SANA ZILE SWAGA TUMEZOEA KUZIONA BELLANAIJA LEO ZIKO MASHUGHULI MDAU WANGU NAMBA MOJA TOKA NAIGERIA ABUJA HUYU HAPA, NINA MUALIKO WA KWENDA ABUJA....!!!Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. kama umepata mualiko,mchukue na mpaka wanja akapate naira.maana kwa upakaji wanja,tumewazidi.

  ReplyDelete
 2. 50/50 WALIKWA NA BIHARUSI WALIVO JIPAMBA SIO KIIVO

  ReplyDelete
 3. Pakeni poda kulingana na rangi zenu! Duh!

  ReplyDelete
 4. Bi harusi bi harusi tu hata awe vp amependeza acheni wivu hakuna alomfikia mashallah.........

  ReplyDelete