Sponsor

TINA TURNER AOLEWA NA ERWIN BACH, AKIWA NA UMRI WA MIAKA 73!!!

8:41:00 AM

TINA TURNER ANARINGA NA KUSEMA "I'VE REACHED MY NIRVANA", KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA TINA TURNER NA EDWIN WALIFUNGA PINGU ZA MAISHA, BI ARUSI AKIWA MAEVALI GAUNI LA KIJAN, NA WAALIKWA WAKIKE WALIVAA NGUO NYEUPE NA WAKIUME WALIVAA BLACK TIE, TINA TURNER ALIOLEWA NA SINGER ERWIN MBAYE WAMEKUWA KATIKA MAHUSIANO KWA MIAKA 27!!!!

You Might Also Like

2 comments

  1. mmh kama ana miaka 30 hongera

    ReplyDelete
  2. Hongera zake mapenzi hayana uzee

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.