SINGO YA REGINA MOSHA @ K-NYAMA!!!

PAMBE YA SOMO MWAVITA WAKUMUINGIZA BI ARUSI BAADA YA FUNDO YA MUDA MFUPI, LAKINI MAMBO YAMEKUBALI NA NYONGA IMELAINIKA, REGINA BI ARUSI MTOTO WA KICHAGA ANASEMA UCHAGA MWISHO CHALINZE MJINI WOTE WAZARAMU SONGA NDANI

 MWARI AKIFICHULIWA
DECOR.....
 SOMO AKITUONYESHA NYONGA YA REGINA ILIVYOLAINIKA
 HAPANA CHEZEYA SOMO MWAVITA NYONGA IMELAINIKA
 MWARI NA SOMO WAKICHEZA
BAADA YA MWARI KUTUONYESHA NYONGA IKO VIPI, REGINA ALIBADILI NGUO
 BI ARUSI REGINA MOSHA..!!!

KIBAO KATA
 SOMO NA PAMBE YAKE ILIKUWA BALAA TUPUUU, HAPANA CHEZEYA TOTOS ZA MIGOMIGO
NYUSO

ERICA AKIWA BA DADA YAKE BI ARUSI REGINA
 ERICA & SOMO MWAMIVITA
 ERICA & FRIENDS
NIMEPENDA BLONDE HAIRSTYLE
RAYA & HIDAYA
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. hichi kibao kata kwa kweli nilikipenda sanaaaa. na shost mwamvita alifanya kaz yake ipasavyo haswaaaaa. jumlisha na yule mpiga kingomba bas mambo yalikuwa mwake mwakeeee! pia nimekufurahia mamaa mashughuli haubanii picha thanks a lot and keep it up.

  ReplyDelete
 2. wadada mlinogajeeeee!! bibi harusi funika mbayaaa. hongeraaaa kayatumie mauno ipasavyooo.

  ReplyDelete
 3. hongera sana Regina umependeza na mungu akuzidishie. nimependa blond hair too.

  ReplyDelete
 4. Aaaaaawww...wadada mlipendezajeee,,Mashallah Bi harus alinoga sana..

  ReplyDelete
 5. pendeza sana mdg wangu regina a.k.a manka

  ReplyDelete