SALIM & LEYLA SENDOFF - LUNCH!!!

BRIDE   ::LEYLA
GROOM::SALIM                            
VENUE  :: SERENA HOTEL        
COLOR  ::HOT PINK & PURPLE

EVENT   ::SEND-OFF LUNCH
ILIKUWA NI LUNCH SEND-OFFYA LEYLA AKISINDIKIZWA NA MUME WAKE SALIM, SHUGHULI ILIKUWA PAMBE KILA KONA, HAPANA CHEZEYA DR. & MRS. HENRY MBWILLE WAKO JUU, BUFFER YA CHAKULA MWANZO WA SHUGHULI MPAKA MWISHO, UKICHEZA NJAA IKABEEP WAENDA KUJISAVIA UNAVYOTAKA......!!!!

EE
 WAPAMBE WAKIINGIA
LEYLA & SALIM WAKIINGIA

MAARUSI
DECOR....!!!!
HII NDIO HIGH TABLE YA MAARUSI
CHAMPAGNE

MARA NYINGI NAPENDA SANA HII, WAALIKWA MNACHANGANYIKANA KUGONGA GLASS NA SIO MSAFARA MREFU KWA MAARUSI...!!
 CAKE
SALIM & LEYLA WAKIKATA KEKI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIPATA KIPANDE CHA KEKI KWA NIABA YA WENZAKE
WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIPATA KEKI
BABA MKUBWA AKIPATA KEKI YAKE
CHEZA
BABA NA MAMA WAKICHEZA
SHANGAZI AKIYARUDI MAYENU
NYUSO
DR. & MRS MMBWILE
MWANAID & MAMA BAMBO
MAMA NA BIBI
MAPENDO & SOPHIA MKINDI
JOHARIA & FRIEND
UMI & FRIEND
HEKAL & RUKIA
RABIA & SAKINA
MANGOWI & JUJA SOMO
SHERRY & HALIMA - SISITEZ FOREVER
MAMA KAREEN
RABIA & AMINA
BABA NA MAMA 


RED CARPET
MAPENDO
HAJARY
MUMMY
MAMA BAMBO
MADINA
HALIMA KITANDULA
UMI
MWANAIDI NDANI YA HALIMA KAMUSI DESIGN
FATUMA KIMARIO
SHERRY & MAMA BAMBO
HAJARY & MAMA MZAA CHEMA
LEYLA & MAMA
HEKAL. RUKIA & ARAFA


SWAGGA

TIMBWILI TIMBWILI ZA NEXT BRIDE
MCHUMBA KUPATIKANA KAZI KWELI KWELI 


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. woow i like the whole shughuli!! m.mungu awabariki maharushi, ilipendeza sana this is all i can say!!!!

  ReplyDelete
 2. Mashaa'allah nimeipenda sana, Watu wote pendeza kwenda mbele na Makeup zimetulia, BIG UP Hellen kazi nzuri sana umetoa picture kama Nigeria, nawatakia Maharusi wapendane zaidi na Wadumu kwenye Ndoa yao

  ReplyDelete
 3. Mashaa'allah nimeipenda sana, Watu wote pendeza kwenda mbele na Makeup zimetulia, BIG UP Hellen kazi nzuri sana umetoa picture kama Nigeria, nawatakia Maharusi wapendane zaidi na Wadumu kwenye Ndoa yao

  ReplyDelete
 4. MashaAllah maharusi mmependeza sana M.mungu awape umri na afya na masikizano. Muifurahie ndoa yenu. Hongera wifi Sophia nimeona mambo yako. superrrrrrrr. nimemisijeeeeeee

  ReplyDelete
 5. kiukweli nawapa hongera kwa wazazi na ndugu wote wamejitahidi sana . harusi nzuri kwenye sherehe zote na bi harusi alipendeza sana ila nguo aliyovaa kwenye send off si nzuri kikweli ila si mbaya. inaonekana hapa hakupata designer mzuri. ila kitchen part, ndoa ceremony ni magoli tupu 3 bila!!! namtakia furaha tele katika maisha yake yote.

  ReplyDelete
 6. DA HELEN UMEPENDEZA NA POCHI YAKO NIMEIPENDA UMENUNUA WAPI?

  ReplyDelete
 7. Hongera ukimwangalia tu biharusi anaonyesha anatabia nzuri namuombea mungu ampe ujasiri wakuiongoza vizuri nyumba yake kwani nyumba ni mwanamke

  ReplyDelete