SALIM & LEYLA NIKAAH @ TABATA!!!!

ALWAYS LEYLA ANATABASAMU, NA LEO NDIO AQDI YAKE BASI TABASAMU LILIZIDI, MAMBO YALIKUWA SIMPLE NA YA KUPENDEZA

NDOA IKIFUNGWA
KAKA WA LEYLA AKIMKABIDHI SALIM DADA YAKE
DR, HENRY MBWILLE AKIMPA MKONO WA PONGEZI MKWE WAKE SALIM
VIFIJOOO!!!
LEYLA AKIMSUBIRI MUME WAKE KUMPA MKONO WA KWANZA!!
PETE
WE HAVE MADE IT...!!!
LEYLA & SALIM
DR. & MRS HENRY MBWILLE M WAKIWA NA WATOTO WAO!!!
NEW HAPPY COUPLE
MAMA MZAZI WA BI ARUSI SOPHIA MKINDI
MIE NA HAJARY KWENYE ARUSI YA MTOTO WA DADA!!!
JOHARIA DADA WA BI ARUSI
BYE!!!! BYE!!!!
LEYLA AKIONDOKA NA MUME WAKE!!
HAO TUKIMSINDIKIZA LEYLA KWA MACHO.....!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Mash'allah jamani mwanangu mwenyezi mungu awape ndoa yenye Kheir na miaka mia watoto double double inshaallah, mmependeza kweli ndugu zangu
  !!!

  Hawaa Kihago

  ReplyDelete
 2. Nyumba inavutiajeeeee kwa ndani..

  ReplyDelete
 3. mmependeza na mpiga picha uko juu mungu akuweke na harusi ya mwangu inshaalah utapanda ndege uje huku huku hajapata mchumba bado hahaaaaaa nakupenda helen

  ReplyDelete