SALEHE & ZUHURA NIKKAH!!!

BRIDE                  :: ZUHURA MATATA
GROOM               :: SALEHE KIBWANA
VENUE                 ;: MANYEMA MASJID-KARIAKOO
 NDOA ILIFUNGWA MSIKITI WA MANYEMA KARIAKO BAADA SWALA YA ADHUHURI, BAADA YA HAPO TUKAELEKEA DIAMOND HALL KUSHEREKEA, WADAU ZILE SWAG ZA NAIJA NI ZA KUMWAGA, HAPANA CHEZEA KAYUGWA'S.................!!!!

 BI ARUSI ZUHURA AKIMSUBIRI MUME WAKE SALAHE KUMPA MKONO!!!
 SALEHE AKIOMBA DUA KABLA YA KUMPA MKONO MKE WAKE
 MASHALLAH....!!!!
REHEMA KAYS - AKIANGAIKA NA MKWE WAKE
 MAMA MZAZI WA SALEHE REHEMA KIBWANA NA MAARUSI
MAARUSI PAMOJA NA WAZAZI WAO
 SALEHE & ZUHURA
 SALHA, DADA YAKE BWANA ARUSI AKIWA NA WIFI YAKE ZUHURA
 NDIO KWANZA NIMEANZA UMEONA KAMA NAIJA VILE......!!! MAMBO YALITISHA YANATAKA UTULIVU TULIA HAPO HAPO!!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. MASHALLAH SHUGHULI NZURI SANA MAHRUSI WAMEPENDEZA HIVI NDIO SHUGHULI YA KIISLAM INTAKIWA IWE, WATU WAMEJISTIRI VIRURI NA WAMEPENDEZA, INSHALLAH ALLAH AWAJAALIE KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YAO, AWAPE KIZAZI CHEMA. AMIN.

  ReplyDelete
 2. Masha Allah wamependeza sana kweli kujisitiri raha !!

  ReplyDelete
 3. Rehema hongera sana umependezaje, wamama wa town noma, uzee mwisho Chalinze

  ReplyDelete
 4. Nimeipenda hii mashallah hakika ndoa ni stara na watu wamejistiri inavyotakiwa,kila la heri

  ReplyDelete
 5. mashallah wamependeza sana!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 6. hongera bi harusi umestiri mwili vizuri na ukaistiri ndo yako vile vile waminshari hasiidin iza hassada

  ReplyDelete