REST's BABY SHOWER!!!

BRIDE            ::          REST
VENUE          ::          SHEKINAH GARDEN MBEZI
COLOUR       ::          WHITE
EVENT           ::          BABY SHOWER
REST AKIINGIA, ALISINDIKIZWA NA WAPAMBE NA BABY DOREEN, EEH KILA MTU ANAPANGA VILE ATAKAVYO!!!
PENDA FACEBOOK PAGE YETU BONYEZA LINK MASHUGHULIBLOG FACEBOOK PAGE

DECOR...!!!
MASTER OF CEREMONY!!!
AIKA MTEI

CAKE BYE BYE TUMMY, HELLO MUMMY
REST AKIKATA KEKI YAKE!!!
AKAGAWA CUP CAKE KWA WATOTO
MARIA NDIO ALIANZA KUMLISHA DMDOGO WAKE KEKI, AKIMTAKIA UZAZI SALAMA!!
REST NAYE AKAMWAMBIA DADA ASANTE
BONGE LA WIFI SINYORITA NAYE AKAPATA KEKI!!!
CHAMPAGNIE 
MOET CHAMPAGNIE NDIO ILIYONGURUMA!!!
HAWA NI WASINDIKIZAJI!!!
MAMA KIJACHO REST AKIBARIKI KINWAJI MLIPUKO!!!
PENDO AKIPATA BARAKA ZA CHAMPAGNIE
PENDO. MARIA & AIKA WAKIFUNGUA KWA FUJO!!!
PENDO AKITAMBA NA MOET
REST AKICHEZA MA MASHISTO's
ZAWADI
BABY IS ANONYMOUS SO ZAWADI NI CHACHE SANA!!!
DADA MARIA NDIO WA KWAOA ZAWADIKUTOA
MARIA & SHOSTITO WAKE WAKIKABIDHI ZAWADI
WIFI SINYORITA AKITOA ZAWADI
PENDO & SHOSITO WAKIKABIDHI 
EPIC WOMEN GROUP HAO..
WAKIONGOZWA NA HAIKA.....HAPANA CHEZEYA
WAO WALISEMA SISI HATUNA CHA ANONYMOUS, WARDROBE YA BABY KIJACHO
WAKIMFANYIA FUJO REST...!!!
CHAKULA
NYUSO
PENDO
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Uuuuh....aika mtei umebongeka....hongera rest..pendo lyaruu itabid uwe mama shughuli mdogo......

  ReplyDelete
 2. Shughuli imependeza sana,watu wamechangamka hongereni. Nimempenda dada mwenye blue, cute & nice smile!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Thanks kwa kunipenda,ubarikiwe. Nakupenda pia!

   Delete
 3. Aaaaw haika mtei I see youuuu (in nigerian voice!) Mashalaah umekuaje mdada na bado uko very Charming kama enz zile za kishule shule.penda min ming a friend from cornelius.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahahahaha!!!! i see u tooo :)kwanini umeeka annoymous

   Delete
 4. Wamependeza saaaana. Dada mwenye blue namjua Bahati jinale, eversmiling. Hongereni.

  ReplyDelete
 5. Uwiiiiiii haika punguza mwili but u lukin so nice

  ReplyDelete