MZIGO MPYA WA NGUO ZA WATOTO KIKE NA KIUME @ CLASSIC STYLES!!!

HAYA HAYA WADAU LEO  NI CHUNGU CHA 4, MAMBO YA VIVAZI VYA WATOTO YAMENANZA MAPEMA MCHUKULIE MWANAO NGUO, MVALISHE MWANA NGUO ZA KISTAR SIO SARE SARE ZA KARIAKOO, NI WALE WALE CLASSIC STYLE, BEI NO MOJA TU 48000/=
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA
 HAIRBAND
ZA WATOTO
 ZA WAKUBWA
 BODY SPLASH ZINAZODUMU KWENYE MWILI KWA MASAA 24, UKIPULIZIA ASUBUHI MPAKA KESHO ASUBUHI ZIPATE KWA BEI POA @ CLASSIC STYLES
PRO LONG WEAR LIPSTICK
WALE WAVIVU WA KUPAKA LIPSTICK KILA BAADA YA MUDA DAWA YAO HIZI HAPA, UNAPAKA ZINAKAA MUDA KWENYE MDOMO WAHI MAPEMA UJIPATIE YAKWAKO

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment