LUNCH - ZUHURA & SALEHE AQDI!!!!

Bride White Wedding Dress  ::Mariedo
Makeup                                  ::Glambox Wedding
Cake                                       ::Teddy Mapunda
Lunch Venue                          ::Diamond Jubilee
Muslim Aqdi                           ::Manyema Masjid Kariakoo
Decoration                              ::Paco Deco
Color                                       ::Apple Green, Baby Yellow & Gold

Entertainment                         ::Jahazi Taarab Live Band, Warumba Ngoma
 BAADA YA NDOA KUFUNGWA MSIKITI WA MANYEMA, TULIKWENDA KWA CHAKULA CHA MCHANA DIAMOND JUBILEE HALL NA MENGINEYO KATIKA KUSHEREKEA FURAHA YA ARUSI, HUKU NDIO MAMBO IKO.......SWAGA ZA KITENGE NYOTA NYOTA ZATAWALA HAPANA CHEZEYA KAYUGWA"s, KINZURI CHAJIUZA INGIA NDANI UONE....!!!

DECOR....!!!
PACO DECO...!!! UNATISHA
MC
MC MAGONGO, NDIYE ALIONGOZA HII SHUGHULI, MIE NAMPENDA HANA MANENO MEEENGI YAKACHOSHA MASIKIO..!!
ZUHURA
ZUHURA ALIKAA NA WIFIYE SALHA!!
ZUHURA & SALEHE WAKIVISHANA PETE
PEMBENI FAMILIA IKISHUHUDIA
HAWA NI MAMA ZAKE SALEHE SARE YAO YA KWANZA NI HII HAPA, BAADAYE UTAWAONA TENA...!!

BAADA YA KUVISHANA PETE SALEHE & ZUHURA NA MAMA ZAKE WALIRUDI KIVINGINE!!!!
KITENGE CHA NYOTA NYOTA KWA MARA YA KWANZA CHAVALIWA KAMA SARE KWENYE SHUGHULI....!!!
NATAMANI NINGEKUWA NA VIDEO, UNGEMUONA ANAVYOCHEZA MAMA MTU!!!, NGUO YA REHEMA DESIGN BY EVE COLLECTIONS, I SOLUTE YOU
MAARUSI WALIINGIA WAKIONGOZWA NA VANESSA MDEE
UMEONA SWAGG ZAKE!!
MAARUSI WAKIINGIA, NGUO YA ZUHURA IMENUNULIWA MARIEDO, NAWAFAHAMU HAWA MARIEDO NI WAKONGWE KATIKA BUSINESS YA NGUO ZA MAARUSI, GAUNI NZURI, UNIQUE....!!!

SALHA NA WIFI YAKE & BRO SALEHE!!
STYLISH MAMA NA WANAE...!!!
 VELI NZURI....!!! BI HARUSI NENDA MARAIEDO UTAPATA VITU KAMA HIVI..!!
NEW WED COUPLE
CAKE


SALEHE AKIMLISHA MKE WAKE ZUHURA, MWANAUME MWENYE MAADILI UMEONA KAMKINGA KEKI ISIJE KUCHAFUA NGUO YA MKEWE!!!
ZUHURA AKIMLISHA MUME WAKE SALEHE KEKI, MIMI HUWA NAONGEA NA PICHA JAMANI HALAFU ZINANIELEZA MENGI SANA..!!!
ZUHURA AKIMPA MKWEWE KWA HESHIMA ZOTE
MAMA YAKE BI ARUSI AKIPEWA KEKI NA MKWEWE SALEHE
NYUSO
REHEMA PENDEZA NDANI YA SWAGA COMPLETE ZA NAIJA...!!! HAPANA CHEZEYA!!, NGUO YAKE IMETOKA NIGERIA 
REHEMA KAYUGWA & REGINA LOWASSA
MAMA NA MWANA
SHUFFA KIANGO 
ASHURA SHAMTE (MRS) & FRIEND
REHEMA, REGINA & JULIE MKULLO
ANNETE-ASHURA & REGINA LOWASSA
TOTO LA KAIHABESHI
SALEHE
LEFT:: BABA MZAZI WA BWANA ARUSI
BURUDANI
WADAU MASHUGHULI TULIONDOKA MAPEMA SHUGHULINI MAMA MZAZI WA BI ARUSI ALIWAPA GARI MAARUSI SINA PICHA TAFADHALI HATA KAMA NI YA SIMU NITUMIE

WHITE  CARPET
REHEMA & MKWEWE ZUHURA
REHEMA NGUO DESIGN BY EVE COLLECTION
MAIMUNA ABAYU ABEBE
MIRIAM AZIZ
SALHA
VANESSA MDEE
REHEMA 
KAY
VIATU KAMA HIVI VINAPATIKANA CLASSIC STYLES
SHARRIFA
ASHURA KAWAWA & MC 
HELLEN & SHUFFAR
 
SHAMIM & ASHURA 
SHANI & FRIEND
KHADIJA & SHARIFFA
JOHA & MIRIAM
SWAGAMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. shughuli imependeza sanaaaaa, hakuna mashauzi, hongereni Maharusi mkakae muelewane

  ReplyDelete
 2. mashallah harusi nzuri sana, watu pendeza kwa sana, inshallah mungu awajaalie kila la kheri

  ReplyDelete
 3. yn naweza kusema hii ni haruc nzr kupita zote,ongera my classmate yn umenoga sana jmn,mungu akulinde uwe mkwe mwema.

  ReplyDelete
 4. Yaan sina cha kusema, watu wanapendezaga, lakini hii KALI watu wapendeza sana sana kupita kiasi, MUNGU AWABARIKI hawa vijana wakae vyema katika ndoa yao! HONGERA Handsome boy!!!

  ReplyDelete