LEYLA MBWILLE AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE!!!

 MAMA MZAZI WA BI ARUSI, SOPHIA MKINDI YEYE ALIPENDA KUMKABIDHI BINTI YAKE ZAWADI ALIZOMUANDALIA PALE PALE NYUMBANI KWAKE. NA SIKU YA KWENDA UKUMBINI KUTAKUWA HAKUNA HILO ILA WAALIKWA WATAZIONA KWENYE PROJECTOR NA WADAU WANGU MIE NIMEWALETEA HIZI HAPA HAPA BLOGUNI

WANAKAMATI NA MAMA SOPHIA MKINDI WAKIWA TAYARI KUKABIDHI ZAWADI ZAO
PAPARAZI WALE!!!
ALIANZA MAMA KUMKABIDHI ZAWADI YA KITANDA
 KABATI LA NGUO, MILANGO MINNE (4)
 DRESSING TABLE
  VYOMBO VILIVYOMO NDANI YA KABATI
 AKAMKABIDHI SETI YA VIJIKO AMBAYO SANDUKU LAKE NI PIANO...!!
 LEYLA AKIMSHUKURU MAMA YAKE
 DADA YAKE LEYLA, JOHARI AKIMKABIDHI GAS COOKER 

 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO PAMOJA NA VYOMBO VYA JIKONI
 WANAKAMATI PAMOJA NA BINTI YAO LEYLA
BIBIAKIKABIDHI NDOO YA KUFULIA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. umenifurahisha sana Dada yangu Sophy, Hongera sana nimeupenda utaratibu!!! sikujaaliwa kuwepo lakini ninamuombea kila la kheri mwanangu katika maisha yake mapya ya ndoa!!Allah Ibarik!! Hawaa Kihago

  ReplyDelete
 2. safi sana. mlijipanga wanakamati. pia picha zimetoka vizuri sana. hongera leila, kila la kheri kwenye ndoa yako.

  ReplyDelete
 3. Hongera Sana boss wangu Sophia Nambo kwakweli yalikua Mazuri Mungu aibariki ndowa hii@Eliza lutiga

  ReplyDelete
 4. Hongera leyla@Mama dany

  ReplyDelete