LEYLA KITCHEN PARTY!!!!!

BRIDE               :: LEYLA HENDRY MBWILE
VENUE              :: WATER FRONT
COLOR             :YELLOW, ORANGE & CREAM
BI ARUSI LEYLA AKIINGIA UKUMBINI MWENYE FURAHA TELE, KITCHEN PARTY BOMBA, KULIKUWA HAKUNA SARE NI VAZI LAKO LA KIAFRIKA TU, MAMA ZAWADI ZAKE ALITOA NA KAMATI ZILITOLEWA NYUMBANI, ILISAIDIA SANA SHUGHULI KUMALIZIKA MAPEMA, NIMEPENDA SANA WAALIKWA TULIONA KWENYE PROJECTOR

 LEYLA ANAPENDA KUSMILE SAANA!!
BI ARUSI LEYLA AKIWA NA MATRON WAKE
DECOR...!!!
DECOR ZILIKUWA ZA KIAFRIKA TU!!
WAALIKWA WALIPATA ZAWADI YA KIAFRIKA MLANGONI
MC
MC NI NURAAT, NAPENDA SAUTI YAKE!!!
CAKE
SOMO MRS. YUSUF AKIPATA KEKI
MAMA YAKE MKUBWA SAKINA AKIPATA KEKI
ANTY YAKE RABIA AKIPATA CAKE
AKIMLISHA MDOGO WAKE
MAWIFI PIA WALIPATA YAO, MUIFIKISHE KWA MLENGWA
AKIMPA MAMA KIPANDE CHA CAKE
 CHAMPAGNE
LEYLA AKIGONGA GLASS NA MAMA YAKE
MATUNZANO
ALIANZA MAMA KUTUZWA
 LEYLA ALIMTUNZA MAMA YAKE HERENI ZA DHAHABU..!!!
 PENZI LISOLOBADILIKA NI KWA MAMA TU..!!!
 LEYLA ALIMVISHA DADA YAKE JOHARI HERENI ZA DHAHABU, YEYE ALICHEZA NA MADINI TU
 KIMAMA WAKIKABIDHI KAPU LA MAMA NA MASANDUKU
 MASHOSTITO WAKIMTUNZA SHOGA 
MAMA SOPHIA AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO
 HAPANA CHEZEYA SOPHIA MKINDI MADINI YA UKWEE'E
 LELYA AKITUNZWA NA MAMA
 MAMA AKIMVISHA MWANAE SET YA DHAHABU
 NDANI YA MADINI KILOS!!!
MAMA AKIMPA MAELEZO YA SET HII, IMETOKANA NA MAREHEMU BIBI YAKE
BURUDANI
LEYLA AKIJIMWAGA 
NGOMA YA KICHAGA ILINOGAJE
KWAITO KAMA ADA...!! LAZIMA ICHEZWE
MAMA WA BI ARUSI ALICHEZAJE!!!!
ISHA "SUPER WOMAN" ALIINGIA KUMSUPRISE LEYLA!!!
ISHA AKIIMWIMBIA LEYLA WIMBO WA MAMA!!, SI UNAJUA MASHAIRI YAKE...!!
LEYLA AKAMKUMBATIA MAMA YAKE
HAPANA CHEZEYA JOHA SIMBA NA MAMA BAMBO MAMBO KWA DOLLAR!!!, VIWAVI JESHI
HAJARY ALIGUSWA NA VIWAVI JESHI....!!! 
MAMA NA MWANA WAKIMWAGA PESA KWA ISHA
SOMO NAYE ALIGUSWA
NYUSO
SOPHIA & RABIA 
LEYLA & JOHARI "SISTERS"
SOPHIA & BEAUTIFUL DAUGHTER LEYLA
RUKIA & MAIMUNA "ABEBE's"
SOPHIA MKINDI
MAIMUNA & JAHA
MAMA NA WANAE
HAJARY & FATMA
FATUMA KIMARIO PENDEZA SIS..!!
RED CARPET
HAJARY & JOHARI
 SOPHIA KIHAGO
 MAMA BAMBOO, NGUO DESIGN BY JOHA SIMBA
JOHA & FATMA
UMI, SOPHY, HAJARY & FRIEND
HAJARY
MAMA NA MWANA
LEYLA & JOHARI
MAMA MZAA CHEMA
SOPHIA & RABIA
SOPHIA & ELIZA
SWAGA
CHEZEYA MADINI WEYE KAULIZE BEI!!!
MAMBO YA MICHEEL KORS

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. mash'allah!! jamani shughuli imependeza balaa!!! hongereni sana sana!!! yani pendezaaaa funika bovu!!!

  ReplyDelete
 2. hongera sana leyla n namuona fatma musa na doreen pendeza nyie

  ReplyDelete
 3. Maashalah Alah akujalie Furaha yenye kuendelea katika ndoa yako kama uliyo nayo siku ya leo na awajalie kizazi Chema kitakacho fuata muongozo wa Alah Inshaala

  ReplyDelete
 4. BEAUTIFUL PEOPLE.... PENDEZA SAAAAAAANA HAPPY TO SEE RABIA, FATUMA KIMARIO AND MAPENDO.

  ReplyDelete
 5. Hongera sana Leyla Mashallah ulipendeza sana mdogo wangu

  ReplyDelete
 6. mashallah bi harusi alipendeza sana na shughuli ilipendeza asante Hellena kwa picha jamani nimefurahi kuwaona ndugu zanguu Rabia Sophia Amina Mapendo nk


  Mdau Canada

  ReplyDelete
 7. Hongera sana leyla pendeza saaaana na matron ruth.


  Christina classmate tumaini.

  ReplyDelete