Sponsor

KITCHEN PARTY YA RAMLA

2:19:00 AM

Bride                             ::Ramla Said Hajji
Venue                            ::Paco Cabana
Color                             ::Purplr & Yellow
Entertainment               ::Rusha Roho
MC                                ::Muu
Designer                        :: Bahiya
 
ZAMA NDANI UONE MAMBO YA SOPHIA HUKO MWANANYAMALA KOPA KABANA, MIE MANENO KWISHNEI, TEMBELEA MWYEWE...!!! UKUMBI UKIJAA WATU WOTE WA MJINI HAPANA CHEZEYA!!!

MC MUU AKIWAKIMBIZA.....!!!
ZAWADI
BI ARUSI AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE
LEYLAT AKIMTUNZA DADA WA BI ARUSI
MWAJUMA SELEMAN & SHOSTITO WAKIKABIDHI ZAWADI
 ZAKIA WAKIENDA TUNZA
 TABU MABOBISHI AKITUNZA
MAMA MZAZI WA SOPHIA AKITUNZWA
ANKAL YAHYA AKIWA NA SOPHIA MAMA WA BI ARUSI
SALMA MHANSEN AKIENDA MTUNZA SHOGA
KISHA AKAMWAGA MAHELA
BILAL & ZUNGU WAKIFUTA JASHO SOPHIA
SOMO AKIMTUNZA MAMA WA BI ARUSI SOPHIA
NYUSO

RED CARPET
DECOR...!!!!You Might Also Like

3 comments

  1. bi harusi kapambwa kapambika!! mpaka kope aliyobandikwa haitaki kukaa.na pozi lake mwenyewe la kushika waalikwa mabega.

    ReplyDelete
  2. mashughuli naomba ungekuwa unatuambia shughuli zote unazorusha humu information zake km salon,desgner,chakula,mapambo nk,huwa unatuandikia lakini sio zote

    ReplyDelete
  3. jamani make up za aina hii zinapakwa na mpiga rangi wa nyumba au mtaalamu wake ni nani?

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.