BRIDE :: KHADIJA A.K.A KIJUJU
VENUE :: OSTERBAY OFFICERS MESS
COLOR ::LIGHT BLUE, PINK & CREAM
MAKEUP :: MAXELL
DRESS :: S. FASHION - +255 713 442 022
KAHDIJA ALIINGIA NA RUSHA ROHO YA UKWEE, HAPANA CHEZEYA FULL KUJIAMINI...!!!
DECOR..!!
ZAWADI
KHADIJA
MAMBO YA MAXELL
NGUO YA KAHDIJA INAPATIKANA S. FASHION, MKUREGENZI MWENYEWE MAMA SHARRIFA KAVU ANASEMA SASA UKITAKA NGUO ZA SENDOFF, K-PARTY ZINAPATIKANA KWAKE MPIGIE +255 713 442 022
CAKE
HESHIMA KWA MAMA KHADIJA ALIMFUATA MAMA KUMLISHA KEKI
CHAMPAGNE
SHARIFFA & BI ARUSI WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
ZAWADI
MAMA MZAZI WA KHADIJA AKIMPA MWANAYE KABATI LA UKWEEE LENYA NGUO NDANI
AKAMKABIDHI KITANDA
MWANANGU HANDBAG HIZI...!!
MAMA MZAZI AKIMKABIDHI MADINI HAPANA CHEZEYA
HAPANA CHEZEYA BIBI SHURTI KWA MADINI
NYUSO
SISTERS!!! SAADA & SHARRIFA
RED CARPET
Nimependa sana make up ya bi harusi imetulia sana
ReplyDeleteSHE IS VERY BEUTIFUL!!!!! I LIKE HER!!! pia mpambaji ametenda haki, Hongera sana Maxell naitambua kazi yako!!! hongera bi harusi m.mungu akupe ndoa yenye baraka na watoto wema Inshaallah!!!!!
ReplyDeleteMake up ya biharusi iko vizuri. Safi sana biharusi
ReplyDeletebi harusi kapendezaje love it
ReplyDeletemake up ya biharusi mtarajiwa ipo bomba sana.
ReplyDeleteHongereni ndg zangu mmeweza, shughuli imependeza sanaaaaa,bi harusi mtarajiwa kapendezaje BIG UP, SHE IS VERY BEAUTIFUL Ndg zangu tumezaa M'MUNGU atuwekee INSHAA'ALLAH Dada yenu Mama Mohamed wa Mbezi beach, UNUNIO OYEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteHongera sanaaa.... nimependa zawadiiiii
ReplyDeletependeza saaaaaaaaaaana bi harusi ila kikubwa kabisa nampa big up sana mtu wa make up ameutendea haki uzuri wako big up sana maxel mashughuli ni vizur km ungetuwekea namber yake ya cm humu na ss tupeleke ma bibi harusi wetu. Bi harusi mashalaah
ReplyDelete