BRIDE :: JUDITH
MAKE-UP :: MAZNAT
VENUE :: MLIMANI CITY
COLOR :: RED & BLACK
JUDITH AKIINGIA UKUMBINI HUKU AKILINDWA NA VIJANA WATANASHATI, JAMANI HAYO NI MANJONJO TU MAANA KILA MTU ANATAKA KUTOKA KIVYAKE, KUONA ZAIDI ZAMA NDANI
JUDITH
DECOR...!!!
CHAMPAGNE
WAZAZI WA PANDE ZOTE MBILI WAKICHEERS
JUDITH AKIGONGANISHA GLASS NA BABA YAKE
MAMA ZAZI WA JUIDITH CHRISTINA MAMA YA BANDARI AKIGONGA GLASS NA BINTI YAKE KIPENZI
DADA YAKE JUDITH MAY AKINGONGA GLASS
CAKE
WAKATI JUDITH ANAKATA KEKI NA KWENYE MEZA VIVYO HIVYO
WANAKAMATI WAKIPATA SHARE YAO
AKITOA UTAMBULISHO
MARA BAADA YA JUDITH KUTOA UTAMBULISHO, ALIKWENDA KUMTAFUTA MCHUMBA
HUYU HAPA....!!!
CHEZA
NYUSO
MOHAMED & RUKIA KISMAT...!!!
MR & MRS KISMAT & BI ZARO
RED CARPET
Judith ulipendeza sana, Mungu akusimamie katika maisha yako ya ndoa uliyoyaanza.
ReplyDeleteMtu unawezaje kuchukua mlimani city halaf ukashindwa kuweka decor nzuri,ona hizo carpet zilivyopauka kha! May kwenye hii powder umechemsha angalia ulivyotoka
ReplyDeleteJamani kuna watu wengine mnakuwa na roho mbaya kama wakaanga sumu. Ukumbi wa mlimani City ni mzuri na decor ya send off ya judith ilikuwa nzuri sana kwa sie tulibahatika kuwepo tumeona. wewe unaetoa kasoro decor yawezekana kujapata mwaliko hivyo una hasira ya kukosa shughuli.
DeleteDada May hongera sana kwa kusimamia shughuli ya ndugu yako maana sherehe ilikuwa bomba. Food was excellent, decor magnificent, the cakes waooh! in short kila kitu kilikuwa kizuri sana na MAY kama kawaida mtoto mashallahu ulipendeza na Mungu kakujalia ukivaa nguo inakaa na sura yako nzuri.
UKUMBI AKODI MWINGINE, SHEREHE YA MTOTO WAO VIPI WEWE UTOE KASORO MAPAMBO YAO.
DeleteMAJANGAAAAAAAAAAAAAA
SHEREHE IMEPENDEZA NA MWENYE WIVU AJINYOGE.
UMEPENDEZA SANA JUDITH USIACHE KUMUOMBEA MUMEO
ReplyDeleteMAOMBI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU NI MUHIMU, HIVYO KILA MTU INAPASA AMUOMBE MUNGU ATUNZE FAMILIA YAKE NA KUMUOMBEA MUME NI JAMBO BORA ZAIDI.
DeleteJUDY, MKARIBISHE MUNGU KILA SIKU KATIKA MAISHA YAKO
huna haya we uliecomment kuhusu decor ushazoea maputo na matambala na maua yanayoleta mbu ukumbini.na huyo may km una bifu nae mfate kwakw au mtafute kwa cm sio kutaka kuwaharibia watu shughuli na hujafanikiwa shetani wa mguu mmj we hakuna hata aliekusupport.tulipendezajeeeeeeeeeeeee kuzaliwa mjini rahaaaaaaaa
ReplyDeleteHongera sana mpenzi aka matron wangu ulipendeza mno, decor ilikua bomba na palipendeza sanaaa....Mungu akuongoze katika maisha mapya. be blessed.
ReplyDelete