IRENE's TABATA KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE       ::Irene Sungi Shilla
VENUE      ::Next Door Hall Tabata
COLOR     ::Kente Colors
BI ARUSI IRENE AKIINGIA UKUMBINI AKIWAPUNGIA WAALIKWA, ALIPENDEZAJE NGUO YAKE IMEWEKWA NAKISHINAKISHI ZA KITENGE CHA KENTE, HAYO NI MAMBO YA TABATA CHINI YA USIMAMIZI WAKE, MARIA MAKALLA A.K.A MIAH HOPE

IRENE AKITOA INTRO YA FAMILIA YAKE..!!!
DECOR....
ZAWADI
HAZIKULETWA UKUMBINI
CAKE
IRENE AKIKATA KEKI
ALIANZA KUWASHA FATAKI....!!!
KISHA AKAJILISHA MWENYE KWANZA
AKIMLISHA MAMA YAKE MZAZI
AKAMLISHA MIAH HOPE KWA MAPENZI!!!!
WADADA WAKIJIAMINI WAKIFUNGUA KINYWAJI
WOTE WALIMIMINIA BI ARUSI
MAMA MARIA AKISAVE KINYWAJI MLIPUKO,,,PENDEZA SANA NA BEGA MOJA....!!!
BI ARUSI IRENE AKINYWA KINYWAJI MLIPUKO
CHEZA
ZAWADI & FUTA JASHO
MAMA MARIA AKIKOSHWA HAPANA CHEZEYA WENYE PESA ZAO
RAHA YA KUWA NA WATU UMEONA MARIA ULIVYOTUNZWA
AKIWASHUKURU
BI AKITUNZWA
IRENE AKIPOKEA ZAWADI YAKE TOKA KWA MASHOSTITO
MARIA ULICHEZAJE MATUNZO
UMEONA MAMA AKIMKABIDHI MWANAYE KAPU LAKE
KISHA AKAMSASAMBULIA SANDUKU KISTAARABU NA KUONGEA NAYE HUKU AKIONGEA NAYE TARATIBU KABISA
IRENE ALIKWENDA KWA MAGOTI MPAKA KWA MAMA YAKE HUKU CHOZI LIKIMTOKA
ALILIA SANA KWELI PENZI LA MAMA HALIBADILIKI KAMWE

IRENE AKIGAWA ZAWADI YA VITANA WA WAALIKWA
NYUSO
MARIA A.K.A MIAH HOPE & IRENE
MAMA NA MWANA
MAMA MZAA CHEMA
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Hongereni sherehe ilikuwa nzuri na mlipendeza kweli si utani.

  ReplyDelete
 2. Wow!!!!! Bi harusi ulifunika full smile face. Mungu azidi kukubariki uwe na ndoa yenye furaha siku zote tuone hiyo smile face till the end of the world.

  ReplyDelete
 3. Dada Fatuma wa TCAA nakuona hapo na posy la ukweli!Sare ilizingatiwa si utani.

  ReplyDelete
 4. Hongera sana kwa Irene;na hongera dada special Miah kwa kufanikisha sherehe ya mdogo wetu.Kwa neema za mwenyezi Mungu namtakia maisha mema ya ndoa Irene.

  ReplyDelete
 5. Hongera dada Maria kwa shughuli safi,watu watajifunza kwako, wadada na wamama wa TCAA mko juu sana,mmependeza sana.

  ReplyDelete