IFTAR NYUMBANI KWA WEMA SEPETU, KAJALA NAYE AKATA KEKI!!!

IFTAR HIYOOOOO!!!
IKIWA NI MOJA YA KUSHEREKEA BIRTHDAY YA KAJALA WEMA ALIFUTURISHA NYUMBANI KWAKE BAADA YA HAPO KAJALA NA B12 WA CLOUDS REDIO WALIKATA KEKI, UNAJUA WEMA ALIMPA RAFIKI YAKE KIPENZI KAJALA KEKI TANO!!!! NA B12 ALIPATA KEKI 3!!! KUMBE WEMA NI MPENZI WA KEKI!!!

 WAALIKWA WAKIPATA FUTARI
ZAMARADI AKIJISAVIA
KEKI
MDAU USISHTUKE UKAFIKIRI NI MASHINDANO YA KEKI, HPANA HIZO NI KEKI ZA KAJALA ALIZOLETEWA 
 SPECIAL KEKI TOKA KWA SHOSTI WAKE WEMA SEPETU!!

AH!AH! KUMBE UKIPATA CHEO!!!
 KAJALA & BDOZEN WAKIWA TAYARI KUKATA KEKI
 WEMA NA WENZAKE WAKIIMBA BIRTHDAY SONG FOR KAJALA & BDOZEN
 ONE THING NIMEKIONA KWA HUYU BINTI YA SEPETU ANA NYOTA FULANI NIVI
 KAJALA AKIMLISHA MDOGO WAKE
 ZAMARADI, MUNA VIPI??
 OMG, THEY ARE TRUE FRIEND!!!!

 
 BDOZEN, WEMA ALISEMA NI RAFIKI YAKE SANA TU!!
 JUNAITHA PEMBA, SHOSTITO WAKE WA UKWEE'E KAJALA AKIMLISHA KEKI
 RIYAMI AKIMLISHA KAJALA
 PETY NAYE AKILISHWA KEKI
 MOTHER HOUSE NAYE AKIIONGEA!!
SHE IS A TRUE BEAUTY!! HALAFU ANA MVUTO FULANI HIVI!!
NYUSO ZA RAMADAN
 WEMA, JUNAITHA & KAJALA
 MUNA & LAMAR
 BILAL, KAJALA & WEMA
 RASHIDA & DIANA (MTU NA WIFIYE)
 ZAMARADI & WEMA
 RIYAMI, ZAMARADI & KAJALA
 KAJALA & FRIEND
 RIYAMI, WEMA & MUME WA RIYAMI RIYAMI
 JUNAITHA, RASHIDA & FRIEND
 PENDO & FRIENDS
MUNA & BDOZEN

RED CARPET
MIE NA DOGO LANGU JUNAITHA
JUNAITHA & WEMA
WEMA, JUNAITHA & KAJALA
BEST FRIEND FOREVER
RIYAMI & KAJALA


EMELDA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. wow mungu awabarik sana kajala udumu urafiki wenu siku zote ktk maisha yenu

  ReplyDelete
 2. Huyu Mtoto Wema sijawai kmuona zaidi ya kwenye picha lakini ananivutia sana tena sana<Mungu amzidishie.

  ReplyDelete
 3. Lol mlipendeza sana manshallah

  ReplyDelete
 4. yaani mashughuli ghafla umekuwa mtabiri ati wema ana nyota fulani hivi lol

  ReplyDelete
 5. kweli wema ana nyota wala hujakosea mashughuli

  ReplyDelete
 6. manshaalah mungu awalinde na shetani wasigombane hawa watoto jamani amiiin

  ReplyDelete
 7. sasa huyo binti mdogo wake Kajala aliyeweka miguu kwenye kochi na kukaa kwenye pembe ya kochi hajui kama anamuharibia mwenzake makochi watu sio wastaarabu haoni hiyo ni leather kabweteka tako na mguu uko rafu rafu tu mwee

  ReplyDelete
 8. Auntie Helen huyo anaitwa Riyama not Riyami. She is my favourite actress.

  ReplyDelete
 9. Mdau umeniwahi na huyo aliyeweka makalio kwenye kiegamio cha kochi yaani watu wengine ustaarabu zero.Huyo anaitwa Riyama Ally sio Riyami bibi.All in all it was good.

  ReplyDelete
 10. Kwa kweli Wema ana nyota sana namfananisha na Amina Chifupa ubarikiwe Wema u always rock

  ReplyDelete