Sponsor

IFTAR NYUMBANI KWA REHEMA MNTAMBO!!

8:22:00 PM

 ASIKWAMBIA MTU FUTAR NI TUMEFTURU NINI, JUMAMOSI NILIALIKWA KWA MDOGO WANGU REHEME MAMBO NDIO KAMA HIVYO NDIZI NYAMA, TENA MNYENYELE NA SIO MALINDI ZIMEPIKWA ZIKAPIKIKA, REHEMA ANAJUA MIE MPENZI WA NDIZI...!!!

 MACARONI, CHAKULA AKIPENDACHO MWANANGU MIE AZIZ
 ARAGE LA NAZI
 NDIZI TAMU
 CHAPATI
 KUKU WA KUKAANGA
 BAJIA ZA KUNDE
 KACHORI
 SAMAKI-TASI
SAMOSA
 TUKASHUSHIA NA JUICE!!!
 HII NI JUICE YA TENDE
MIX FRUITS JUICE
 MOTHER HOUSE REHEMA AKIZIDI KUKOROFISHA!!!
 REHEMA, HITHAM & KATTE
 REHEMA NA BABY HITHAM
 SHY GUY AHMED
 MIE HUYO NA DOGO LANGU-2 BONGE
FAMILIA!!! NAMUONA MWANANGU
MPENDA PICHA MARIAM K
ASANTE REHEMA KWA UPENDO WAKO KWANGU!!!

You Might Also Like

3 comments

  1. manshaalah mungu atutakabalie sadaka zetu amiin yarabi llaalamin

    ReplyDelete
  2. Hao ukoo mzima wanajua kupika balaa,kwakwel wamejaaliwa.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.