Sponsor

FASHIONISTA STELLA & HUBBY MATERNITY PHOTO SHOOT!!!

9:26:00 AM

 HAPANA CHEZEYA WATU WENYE PRINCIPLE ZAO, SIO OOH MIE MIMBA IMENIHARIBU PENDEZA MWANZO MWISHO, HAYA COUPLE ZILE ZA UKWEE KUNA MATERNITY PHOTO SHOOT IFANYIWE KAZI, INGIA NDANI MR & MRS WANAVYORINGA NA KITUMBO!!!!!!!!!


You Might Also Like

6 comments

 1. Safii Sanaaaa!
  Hiyo picha ya mwisho nimeipenda muno.

  ReplyDelete
 2. pendeza sana mama kijacho,maana tumezoea mtu ukiwa mjamzito basi ndio unakuwa mchafu hujipendi ukiuliza oooh nimechoka so nice

  ReplyDelete
 3. Umependeza mama kijacho. Mbona mimi nina mashaka na viatu virefu jamani? Wanasema ukiwa na hali hii kiatu kirefu ni hatari?

  ReplyDelete
 4. Nahisis hivi viatu ni kwa ajili ya kuchukulia picha tuu hawezi kua anatembelea muda wote....... wasitupotoshe jamani.

  ReplyDelete
 5. Acha kuwadanganya wenzio, kama kweli umevaa hicho kiatu na ukatembea nacho, hiyo takuwa ni mimba ya plastic...

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.