CoNept HEALTH CONSULTANT

Tunapatikana:: sinza palestina, opposite Palestina Government Hospital
Mawasiliano::
Visit our blog: coneptafya.blogspot.com for health tips

Wanahusika na ushauri wa afya na kuponya kwa dawa lishe kwa magonjwa yafuatayo:-
Kisukari:
Tunatoa ushauri wa jinsi ya kudhibiti sukari yako na kuongeza kingaya mwili ili kupambana na …. Iliyosababishwa na sukari, kwa kutumia aina Fulani ya vyakula vitakavyokusaidia kupambana na kurekebisha mwili wako. Kwa wale ambao tayari wanasukari tunawasaidia kwa kuwapa virutubisho au dawa lishe zinazoenda kufanya kazi moja kwa moja kwenye kongosho na kulisaidia kongosho kufanya kazi ipasavyona ya kuzalisha insulinya kutosha mwilini ambayo kazi yake kubwa mwilini ni kubalance sukari. Kongosho likifanya kazi ipasavyo basi mgonjwa wa kisukari atakuwa hasumbuliwi kabisa na ugonjwa huu
Vidonda vya tumbo:
Kwakuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na wingi wa tindikali au bacteria wanaoshambulia utumbo mwembamba, tunatoa dawa lishe zinazomsaidia mgonjwa kwenda kurekebisha uzalishaji wa tindikali tumboni kwa k na kuondoa bacteria wote wanaosababisha utumbo kuwa na vidonda. Dawa lishe hii itamuwezesha mgonjwa yeyote wa tumbo yaani kama anasumbuliwa na tindikali, kutokupata choo, kiungulia, tuombo kunguruma na mengineyo
Nguvu za kiume/kike:
Tatizo la nguvu za kiume/kike limekuwa sugu kutokana sana na maisha tunayoishi ya stress. Stress za makazini, maisha magumu, na mengineyo zimefanya watu wengi kushindwa kufurahia tendo la ndoa kama ipasavyo. Hivyo tunatoa ushauri wa kisaikolojia na pia tunawasaidia wakina mama waliokwisha kupata watoto na wakakubwa na tatizo hilo, na wengi inakuwa imesababishwa na baada ya kupata mtoto wa pili wengi wanakuwa hawafurahii tena tendo la ndoa na kusababisha ongezeko la nyumba ndogo.dawalishe zitakusaidia kubalnce hormone zako na ku_tighten sehemu husika na ukawa kijana kabisa. Pia endapo umekumbwa na ugonjwa ukasababisha kupotea kwa nguvu za kiume pia dawa zetu zinakuwezesha kurudisha heshima yaka kama mwanaume
Memory:
Ubongo wa binadamu unapswa kulishwa kwa protini nyembamba asubuhi kabla ya kupata kitu chochote ili kusaidia kukuza uwezo wako wa kumbukumbu na kuimarisha uwezo wako wa kufanya kazi. Kama ubongo wako hauko active, (haujashiba) si rahisi sana nawe ukaweza kufanya kazi zako kwa umakini kama ipasavyo. Hivyo tunashauri vyakula vya kutumia asubuhi na mapema na jinsi ya kuimarisha uwezo wako wa kufikiri na kuifadhi mambo. Hii itakuondolea kuchoka choka na kusahau ovyo, itakuwezesha kufanya mambo kwa uharaka zaidi.

Macho:
Tunatoa dawa lishe kwa wenye matatizo ya macho ambazo zinamsaidia mgonjwa kusafisha na kuipa nguvu mishipa ya macho. Mgonjwa mwenye tatizo la macho au anayevaa mawani tayari, dawa lishe zitamsaidia mgonjwa huyu kuvua miwani na kuona vyema bila miwani
 Figo:
Figo ni kiungo Muhimu sana katika mwili na kinapaswa kufanyiwa service na kurepair kama tufanyavyo kwenye vyombo kama magari na mashine. Hivyo tunamsaidia kwenye tatizo la figo kurepair figo yake na pia kwa asiye na tatizo anashauriwa kuservice figo walau kila baada ya miezi mitatu.
Kupooza
Kupooza ni ukosefu au udhaifu wa mishipa kufanya kazi zake ipasavyo, hivyo dawa zetu zinamsaidia mgonjwa kwa kupooza katika kuipa nguvu mishipa hasa ya kusafirisha na kusambaza damu mwilini ili iweze kufanya kazi ipasavyo. Dawa zitamsaidia mgonjwa kuupa mwili nguvu na kinga na kufanya viungo vyake kuanza kufanya kazi ipasavyo
Kuongeza kinga
Mwili wa binadamu unauwezo wa kupambana na magonjwa yote, kwa maneno mengine mwili wako ni dawa ya kila ugonjwa, lakini kutokana maisha tunayoishi na jinsi tunavyokula mwili umekuwa hauna kinga ya kutosha ya kupambana na maradhi mbalimbali. Hivyo tunatoa lishe kwa wale wanaosumbuliwa na malaria isiyoisha na waliopungukiwa na kinga mwilini. Pia tunatoa dawa lishe ya kupandisha CD4 kwa wingi na kumsaidia mgonjwa kupata nguvu kwa haraka zaidi
Ugonjwa ukishakupata ni vigumu sana kuutoa na mara nyingi unaweza kucukua miezi hata mwaka kutibika hivyo jenga mazoea ya kuulisha mwili na kuufanyia service mara kwa mara, jenga mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara hii itakusaidia kutibu tatizo kabla halijawa sugu. Itakuwezesha kuijua afya yako na kujua jinsi ya kujikinga na magonjwa sugu/magonjwa tabia. Tutembelee leo na ujue jinsi ya kujikinga na magonjwa tabiaKwa maelezo zaidi ya kupata huduma hizi wasiliana nasi kwa

Visit our blog: coneptafya.blogspot.com for health tips

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Haya ndio mambo muhimu sana kwa mwanadamu asante mashughuli

    ReplyDelete