BONGO MOVIE STAR KAJALA" ASHEREKEA BIRTHDAY NA WATOTO YATIMA WA TMH!!!

 KAJALA AKIINGIA TANZANIA MITINDO HOUSE KUSHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WATOTO, MIMI NASEMA HIVI HII NDIO GIVE BACK TO THE COMMUNITY OR CHARITY WORK!!! MASTAR MNATAKIWA KUFANYA HIVI KAMA KAJALA!! AMEWEZA HONGERA

 KAJALA AKISALIMIANA NA KHADIJA MWANAMBOKA NA KUMFAHAMISHA AMEKUJA KUWAONA WATOTO WAKE.....!!!
 WATOTO WAKIWA DARASANI TMH
KAJALA NA BFF JENIPHAR PEMBA WAKIANGALIA KAZI ZA WATOTO WA TMH!!
 KAJALA AKIWASALIMIA WATOTO NA KUWAELEZA KAWALETEA ZAWADI NDOGO, LEO SIKU YAKE YA KUZALIWA SIO KWAMBA MIMI NI TAJIRI HAPANA NIMELETA ZAWADI KWA MAPENZI YANGU KWENU NA PIA NITAENDELEA KUFANYA HIVI SIO MPAKA SIKU YANGU YA KUZALIWA BALI PALE NITAKAPONA NITAKUJA.......!!!
 YEYE NI BONGO MOVIE ACTRESS KAJALA ALIPATA KEKI 12 KWENYE BIRTHDAY YAKE, KUYAONA MAMBO ZAIDI SUBIRI PICHA ZA IFTAR NYUMBANI KWA WEMA SEPETU!!!!
 WATOTO WAKIMUIMBIA HAPPY BIRTHDAY KAJALA!!!
 KAJALA AKIKATA KEKI
 KAJALA ALIWALISHA KEKI BAADHI YA WATOTO YATIMA WA TMH!!!
 WATOTO WAKIMLISHA KAJALA KEKI
 PAPARAZI TULIKUWEPO KUBAHARISHA ULIMWENGU!!!
 KHADIJA MWANAMBOKA, MKUREGENZI WA TMH, AKITOA SHUKRAN ZAKE ZA DHATI KWA KAJALA, BONGO MOVIE ACTRESS KUWAKUMBUKA WATOTO ANGEWEZA KWENDA KOKOTE KUFURAHI NA RAFIKI ZAKE LAKINI AKAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA
 MWALIMU ANAYEFUNDISHA WATOTO SOMO LA UCHORAJI AKITUELEZEA FAIDA ZA MTOTO KUJUA KUCHORA...!!!
 ZAWADI
ZAWADI ZA WATOTO TOKA KWA KAJALA, WADAU HILO BOX LA SM SIO KAMA LINAVYOONEKA NDANI KUNA MAJANI YA CHAI, MAANA MSIANZE KURUSHA MAWE...!!!
 KAJALA AKIKABIDHI ZAWADI ZAKE KWA WATOTO!!
 
 HUSSEIN MMOJA WATOTO YATIMA WA TMH AKITOA SHUKURANI KWA KAJALA NA WALIMWAMBIA TUNAKUPENDA PIA TUNASHUKURU KWA KUTUKUMBUKA NA ISIWE LEO TU, HATA SIKU SIJAZO...!! ILIKUWA NGUMU SANA SOTE MICHOZI
 KAJALA AKIONGEA NA WATOTO....!!!!
 KAJALA NA WATOTO YATIMA WANAOLELEWA NA TMH, CHINI YA MKUREGENZI KHADIJA MWANAMBOKA YOU HAVE MADE IT!!!
 KAJALA NI BINTI MWENYE EMOTIONAL SANA, ALISHINDWA KUJUZUIA CHOZI LILIMTOKA
 BEAUTY WITH PURPOSE KAJALA 
ZAMARADI MKETEMA WA TAKE ONE ACTION CLOUDS TV ALIKUWEPO KUKAMILISHA KIPINDI CHAKE WADAU JUMATANO HII MUANGALIE CLOUDS TV
 
BONGO MOVIE STAR ACTRESS AKIWA OFISI ZA TMH!!! 
 KAJALA AKIWA NA MASHOSTITO WA UKWEEE, WALIOMSUPPORT KATIKA KUFANIKISHA SHUGHULI YAKE!!!!
 KAJALA, JENIPHAR & KHADIJA 
JENIPHAR, BILAL & FRIEND
 RED CARPET
SWAGGA
2ND TATOOO!!

KAA MKAO ULE ULE BAADA YA HAPA, HAOOO MPAKA NYUMBANI MPAKA NYUMBANI KWA WEMA SEPETU ALIFUTURISHA KISHA KAJALA NA BDOZEN WAKAKATA MAKEKI MAANA SI MOJA ZILIMWAGIKA KAMA MVUA!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Happy bday kajala mungu akujalie maisha marefu yenye afya,aman,upendo na mafanikio tele.mashaalah huyu dada mzur kama roho yake ana nuru kwel kwel hata avae nin anapendezaa.ubarikiwee mnooooooo!

  ReplyDelete
 2. Happy birthday my dear mungu atakulipia kwa sadaka uliotoa hiyo ndio sadaka kubwa kuliko zote na mungu akusamehe mazambi yako na akubadilishe na akunyooshee yote yako amiiiiiin kajala nimependa sana sio wote wanaokumbuka haya

  ReplyDelete
 3. Helen na wee pia natoa shukran zangu kwako kwani bila mungu na wee kutujuza sie tulio mbali na nyumbani tusingekuwa hii burudani thanx na wee mungu akuweku sema amiiiiiiiiin

  ReplyDelete
 4. Mungu akupe maisha marefu na yenye heri duniani kajala

  ReplyDelete
 5. I think Macelebrity wa Bongo mungekua munjitolea kwenye hizi nyumba za mayatima mungezidi kupendwa na jamii

  ReplyDelete