ASILA's BRIDAL PACKAGE!!!

 BI ARUSI KABLA YA MAKEUP
 BI ARUSI BAADA YA KUPAMBWA NA KUBANWA NYWELE NA ASILA BRIDAL CARE, WADAY MAKEUP INATAKIWA IKUPENDEZE SIO KUTISHA KAMA ZILE TWAZIJUA, HAYA SASA BI ARUSI WATARAJIWA NENDA KWA ASILA UPENDEZE SIKU YAKO KWA BEI POA TU USIHARIBU PICHA ZAKO
 MTEMBELEE KWENYE BLOG YAKE, UONE KAZI ZAKE, BONYEZA LINK UINGIE KWAKE ASILABRIDAL.BLOG 

Location: Magomeni Mikumi

Contact/Mawasiliano: +255717616852

HAIRSTYLE IMETULIA EEH!!
 WITH CONFIDENCE UKIPENDEZA EEEH!!!
 MATRONE BEFORE MAKEUP
 MATRONE BAADA YA KUREMBWA
 BEFORE MAKEUP
 AFTER MAKEUP
BEFORE MAKE-UP
KADADA MDOGO WANGU PENDEZA SANA!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Kwa kweli hapa unaona tofauti ya kabla na baada nitakuja asila

  ReplyDelete
 2. MBONA KAMA MMEWEKA PICHA VIBAYA? HUYO BI HARUSI WA MWANZO MMEMCHANGANYA NA MATRON.

  ReplyDelete
 3. sio bi arusi ni biharusi wewe mama shughuli bwana,jaribu kuweka h

  ReplyDelete
 4. nimependa hizo makeup wanapakwa vizuri kweli! natamani waje na huku arusha wafungue tawi

  ReplyDelete
 5. Picha uloweka matron before make up ndo bi harus before make up,make nzuri rangi zimetulia

  ReplyDelete
 6. Umeweka picha vibaya izo za kwanza....I kno uyo bride nmesoma nae olevel pale st marks...hongera Gaudencia luv MUNGU akujaalie kweny maisha yako mapya.

  ReplyDelete
 7. Big up my dear safi sana mungu ajaalie kazi ya mikono yako

  ReplyDelete
 8. hongera hongera makeup imeenda shuleee uwiiiii nitampeleka mdogo wangu pale baada ya ramadhan kwenye kitchen party yakeee....nimependajeee?

  ReplyDelete
 9. facial imetulia ila mpangilio wa picha hauko sawa

  ReplyDelete