KABLA YA KUFANYIWA MAKE-UP
BAADA YA KUFANYIWA MAKE MMEONAJE??, AMENOGA EEH!! HAKUNA TOFAUTI YA RANGI YAKE NA POWDER, JAMANI KULIKO KWENDA KWENYE UNPROFEESIONAL MAKEUP ARTIST UKATOA MAPESA MENGI BADO BI ARUSI AKAONEKANA KAMA KINYAGO CHA MPAPURE, EMBU MPIGIE ASILA ONGEA NAYE SI MTU WA MAKUU MSIKILIZE, MTEMBELEE KWENYE BLOG YAKE, ASILABRIDAL.BLOG YEYE HAMUONGELEI BI ARUSI ANAONGELEA PRODUCT ALIZOTUMIA
Location: Magomeni Mikumi
KISHUNA THAURAT ULIPENDEZA SANA...!!! MWARI WA SALMA MNTAMBO HAPANA CHEZEYAAAAA!!!
NIMEPENDA SANA HIARSTYLE YA THAURAT.....!!! TOFAUTI NA ZILE TULIZOZIZOEA!!!
wow hapa maneno
ReplyDeleteAsila brides tisherrrrrr
ReplyDelete