AQDI YA HARUN & FATMA @ YEMEN HALL KARIAKOO!!!!

 BI FATMA AKIINGIA UKUMBINI..... SIONGEI SANA SONGA NDANI KWA PICHA ZAIDI

 BWANA ARUSI AKIINGIA UKUMBINI
 AKISOMA DUA....!!! KABLA YA KUMFUNUA MKEWE
HARUN 
MAMA MZAZI WA ARUN NA DADA YAKE KIPENZI MAIMUNA ABEBE WAKIMKABIDHI ZAWADI YA SANDUKU BI ARUSI
 MAYMUNA NA SHARIIFA NA MKWE WAO FATMA
MAIMUNA AKIMTUNZA SHARRIFA HASHIM
NYUSO

 Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. MH DHEMUARES KATHOLU APESIA MAKIAZ

  ReplyDelete
 2. Hongera da sherry,insha allah awe mkwe mwema wakae wasikilizane,wapendane.wamependeza sana nawaombea maisha mazuri.

  ReplyDelete
 3. Uwiiiiiiiii duuuuuh bi harusi kapambwa kapambika teh teh teh

  ReplyDelete
 4. bi harusi extra ordinary mapambo mengiiiii mnoooo mpka hakijulikani kitu lo wamuharibia siku yake lakini Bw harus mashallah simpale

  ReplyDelete