Sponsor

AQDI YA BARKAT & ZAKIA @ KARIAKOO!!!!

5:43:00 PM

 DECOR...!!!
BI ARUSI ZAKIA AKMSUBIRI MUME WAKE BARKAT AJE KUMPA MKONO, ILIKUWA NI SHANGWE ZA NGOMA HAPO MITAA YA JANGWANI, HAPANA CHEZEYA WANA KARIAKOO

 BWANA ARUSI BARKAT AKISOMA DUA!!!
 DUA, DUA!!!! 
 BARKAT ALIMNYWESHA MAZIWA KISHA AKAMFUNUA
 BI ARUSI ZAKIA BAADA YA KUFUNULIWA NA MUMEWE BARKAT AMEPENDEZAJE
PICHA ZA  MALAVIDAVI
 ZAKIA & TABU SISTERZ
 MAARUSI ZAKIA & BARAKAT WAKIWA NA DADA YAKE TABU MABOBISHI, MUMEWE NA MTOTO WAO, MNAKUMBUKA TABU MABOBISHI??


You Might Also Like

3 comments

  1. sio mbaya shughuli

    ReplyDelete
  2. Walipendeza sana. Mungu awape moyo mvumiliana kwenye ndoa yenu
    katika shida na raha hadi kifo kiwatenganishe, Ameeen.

    Mwaaaaaaa!!!!!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.