ABDALLAH & ARAFA AQDI!!!!

 ZAMA NDANI UONE PICHA ZA AQDI YA ABDALLAH & ARAFA KUNDUCHI....!!! TULIANZA NA FUTARI NYUMBANI KWA DADA YAKE ABDALLAH, KISHA TUKAENDA KUOA...!!

NDOA IKIFUNGWA
KHALID & ABDALLAH 
 ARAFA AKIMSUBIRI MUMEWE KUMPA MKONO
 ABDALLAH & ARAFA WAKISAINI VYETI

 PETE, HAPA BWANA ABDALLAH ALIMVIASHA MKEWE PETE NA CHENI MADINI KILOS!!
 ABDALLAH AKIMVISHA MKE WAKE CHENI YENYE JINA LAKE
 MAARUSI NA MAMA YAKE ABDALLAH HAWA
 HAWA NA MKWEWE PENDEZA EEH
 
ARAFA DEKAKWA MUMEO, NDIO USHAKUWA WETU
 MAARUSI NA DADA WA BWANA ARUSI BISHARA
 DA MWANAKOMBO AKIPIGA JICHO KWA MJUKUU
 HUSNA, HAWA & FRIEND
 MAARUSI NA MDOGO WA BWANA ARUSI
 SHERRY & MUHAZA
 MAMA WA BI ARUSI & MAMA WA BWANA ARUSI NA WANAO
 KHALID NA MAARUSI
 SMALL MEDIA
 FAMILIA YA BWANA ARUSI NA MAARUSI
 MAMA ZAKE ABDALLAH
 BIBIS POLENI MMECHULIWA...!!!
 UMEWAONA MAMA ZAKE ABDALLAH STILL GOING STRONG
 BISHARA NA MUMEWE PAMOJA MAARUSI
 MARIAM, HALIMA KAMUSI, HAMIDA & MAARUSI
 MUMILY & BEAUTY
 ASHA
MAMA NA MWANA
 MARIAM, HAMIDA SOPHIA & HALIMA KAMUSI YULE WA HK's COLLECTION SI UNAJUA ANAVYODARIZI HAKUNA KAMA YEYE
MAMA NA MWANA
 SHERRY, MUHAZA & BISHARA
 BISHARA NA WIFIYE
 HAJARY & MDOGO WAKE
 BEAUTY & HALIMA
 MAMA MZAZI WA ABDALLAH
 HALIMA & SOPHY
 HAWA & MJUKUU SARAH
 HAWA KIHAGO
HAJARY, SOPHIA & BWA SHEMEJI

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Mashaalah Harusi nzuri sana may God bless them maharusi inshaalah…

  ReplyDelete
 2. Beautiful dress and makeup. Congrats.

  ReplyDelete
 3. imetuliaaaa inshaalah mungu atajaalia utulivu kwenye ndoa yao amiiin

  ReplyDelete
 4. naonaga raha nikiona ndoa za kiislamu. mashaaallah

  ReplyDelete
 5. Mmependeza, Mungu awabariki ktk ndoa yenu. Aaammyn.

  ReplyDelete